Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Winga wa klabu ya Bayern Munich, Kingsley Coman, atakuwa nje ya uwanja kwa nusu nzima ya msimu baada ya kuumia kifundo cha mguu wa kulia.
Mchezaji huyo aliumia kabla ya mapumziko katika mchezo wa Ligi Kuu Ujerumani uliochezwa Jumamosi iliyopita na mabingwa hao wa Bundesliga kushinda kwa mabao 3-1 dhidi ya Hoffenheim.
Kwa mujibu wa taarifa ya klabu mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa mwenye miaka 22, anatarajiwa kufanyiwa upasuaji utakaomuweka nje kwa zaidi ya miezi minne.