Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

852833615_210087.jpg
 
IMEELEZWA wachezaji wa Real Madrid wamekasirishwa na rais wa timu hiyo, Florentino Perez kwa namna anavyotaka kutumia pesa nyingi kuziba pengo la Cristiano Ronaldo wakati kikosini kuna mastaa kibao wenye uwezo.

Real Madrid imekuwa ikiripotiwa kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi huko Ulaya kuhaha kusajili mchezaji wa kuziba pengo la Ronaldo, ambaye ametimkia zake Juventus.
 
Miongoni mwa mastaa ambao Real Madrid imekuwa ikihusishwa nao na huenda ikatumia pesa nyingi kupata huduma zao ni supastaa wa Chelsea, Eden Hazard na mastaa wawili wa Paris Saint-Germain, Kylian Mbappe na Neymar.

Kwa kitendo hicho cha kutaka kusajili mchezaji mwingine wa nje kuziba pengo la Ronaldo kimewakasilisha wachezaji waliopo Bernabeu kwa sababu wanaamini wapo wengi na wanachohitaji ni kuaminiwa tu.
 
Vituko vya maandaeitini bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 849185
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wachezaji wa Real Madrid wanaamini kuna wachezaji wanahitaji kupewa nafasi hususani Marco Asensio, ambaye ndiye anayeonekana kukerwa zaidi na uamuzi wa Perez kumtafuta nje mrithi wa Ronaldo.

Mastaa wengi wa Real Madrid wanaamini Asensio anaweza, lakini shida inakuja kwa wakurugenzi wa timu hiyo wakiamini kuna mchezaji mwenye kiwango kikubwa zaidi kama Hazard, Mbappe na Neymar ndiyo wanaopaswa kuifanya kazi hiyo ya kumrithi Ronaldo kikosini.
 
Back
Top Bottom