Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni nadra sana kupata heshima ya kubomoa ngome halafu yeye kaipata anaichezea [emoji16][emoji16][emoji16]Bado mtoto,mbelen ndo atagundua kosa
Ni nadra sana kupata heshima ya kubomoa ngome halafu yeye kaipata anaichezea [emoji16][emoji16][emoji16]Bado mtoto,mbelen ndo atagundua kosa
Asije tu akawa ananuka kikwapa au mdomoJamaa anapenda sana pamba
Asije tu akawa ananuka kikwapa au mdomo
Asije tu akawa ananuka kikwapa au mdomo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hali yangu 3- 0Hahahah hapa hapa tu nimekuja kuuliza hali yako
Hewalaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani weweeee!
Anyway...Anonimazi foreva [emoji16][emoji16][emoji16]
Karibu tena bro...Kwema mkuu ila sikufichwa bhana ni harakati tu za hapa na pale....... Asante sana
Heheheh mkuu mkuu sio hivyo kabisaAsee kumbe hujafichwa eeh, baada kuzinduliwa tukadhani unakula fungate ngamiani Tanga[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Bado kale kajamaa kafupi kabishi sensitivu karafiki ka carbamazepine ka Iceman 3D. Mlipotea pamoja. Tukatafute nako tukarudishe uzi wetu uendelee kuwa gado [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️Kwema mkuu ila sikufichwa bhana ni harakati tu za hapa na pale....... Asante sana
Pole sana aisee naona hawakupumzishi kabisa wanakupiga kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hali yangu 3- 0
Pole sana aisee naona hawakupumzishi kabisa wanakupiga kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hali yangu 3- 0
Ice man alikua na shida flani hivi still anapambana nayo na akiishinda atarudi kundiniBado kale kajamaa kafupi kabishi sensitivu karafiki ka carbamazepine ka Iceman 3D. Mlipotea pamoja. Tukatafute nako tukarudishe uzi wetu uendelee kuwa gado [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi nyasi zitachakaa na kusahau kuotaPole sana aisee naona hawakupumzishi kabisa wanakupiga kila siku