Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iko siku isiyo na jina nakwambia
Nitakupa degedege na nitakutibu subiri tu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]natamani waje niwajueUmenikosha balaa hujui tu. Wanyiramba na Wanyaturu nao waje hapa tuhangaike nao (in Issa Matona's voice)...
Ukipata degedege carbamazepine ipo itakutibu[emoji16][emoji16][emoji134]♂️[emoji134]♂️... unataka kuniua wewe, jamani! [emoji1][emoji1]
Huyu atakuwa anatokea somalia bila shaka
Aaah ushawah ona wap dela harusin,ntatupia nyelamumo ya pink[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe utakuwa umetupiamo nini, dela/dera? [emoji1][emoji1]