Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

screenshot_2014-10-31-10-12-44-1.png
 
Watu hawanielewi akina nani? Nani namwelewesha bro? Pochi hata kama ingekuwa na bilionsi of US $ bado hai-justify kupiga mtoto mpaka kumuua. I was just speculating bro ila kama unaijua sababu halisi waeleweshe hao watu unaodai kuwa hawanielewi bado. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
😀😀

Hata kama ningekuwa De Gea, hili shuti ningekwepa tuu. Kimsingi hoja yangu ilizaliwa kwa maelezo yako ya awali. Rejea hoja yako, sikumbuki kama nilikuja na hoja ya ugumu wa maisha.
 
😀😀

Hata kama ningekuwa De Gea, hili shuti ningekwepa tuu. Kimsingi hoja yangu ilizaliwa kwa maelezo yako ya awali. Rejea hoja yako, sikumbuki kama nilikuja na hoja ya ugumu wa maisha.
Unazingua bro...[emoji16][emoji16][emoji16]

Kama unaijua sababu halisi ya huyo mwalimu kumpiga mtoto mpaka kumuua iseme. Mimi nimesema (tena kwa utani wa kulia likes tu) kuwa inawezekana ni psychological problems, anger issues, ugumu wa maisha and the list goes on and on. Wewe umenijibu kuwa ugumu wa maisha eti watu hawanielewi. Nimekujibu kuwa I was just speculating kwa sababu hakuna anayeijua sababu halisi. Hata mpigaji mwenyewe si ajabu sababu haijui na ataishia kusema tu kuwa hasira zilimzidia au shetani alimpitia. Sasa unataka niseme nini bro kwa sababu hata sijui hoja yako hasa ni ipi? Remind me again, tunabishania nini? [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
 
Yaani kumbe hadi wewe umefunga dirisha,milango hadi ukuta hakuna sehemu ya kuruka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikaanzishe uzi najua nitakupata tu[emoji125][emoji125][emoji125]

Embu usianzishe bana, si unajua mimi degedege langu huwa halinichelewishi; Mara tu paaaaa chini! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom