carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Sijui ndo kiki za kisiasa ama nini.
Ila yatamkuta makubwa sana huyu,atajutia hii kauli yake
Ila yatamkuta makubwa sana huyu,atajutia hii kauli yake
Ni mjinga. Wakimuomba athibitishe au arudishe hizo mali za miaka 10 watamfilisi. Hata kama hakuna sheria ya hivyo wanaweza wakamtungia na ikaapply retrospectively. Wenzake wote waliohama anafikiri hawajui magoli ya mikono? Hivi anawajua vizuri CCM wenzake huyu?