Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Unagonga mule mule...Pointi tupu yaani...
Unagonga mule mule...Pointi tupu yaani...
kuiba kunahitaji nyenzo. sio kila mtu anaweza...Na huko alikohamia si akawafundishe nao waibe? Mianasiasa mingine bwana !!!
Ningekuwa mimi namsweka ndani na ku-itemize pesa na mali zote alizochuma katika hicho kipindi cha miaka 10 na kumwambia azirudishe tena kwa nguvu !!!
Anger issues. Psychological problems. Ugumu wa maisha...and the list goes on and on...Isee .. Walimu mbona wanakuwa katili kiasi hiki skuiz.?
Wana stress sana na pia roho mbaya zinawaongozaIsee .. Walimu mbona wanakuwa katili kiasi hiki skuiz.?
Hicho ni kisingizio. Siku hizi unaweza kuwa Moscow lakini ukaiba kura za Florida au Mwanza. Wakiwekeza hizo billions za ruzuku, inawezekana kabisa jirani [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️kuiba kunahitaji nyenzo. sio kila mtu anaweza...
Wanasiasa hawa shem.Na huko alikohamia si akawafundishe nao waibe? Mianasiasa mingine bwana !!!
Ningekuwa mimi namsweka ndani na ku-itemize pesa na mali zote alizochuma katika hicho kipindi cha miaka 10 na kumwambia azirudishe tena kwa nguvu !!!
Marahabaaaa[emoji113]