Tuambiwe hiyo pochi ilkua na vitu thamani pia. Unasema ugumu wa maisha, kuna watu hawakuelewi bado.Anger issues. Psychological problems. Ugumu wa maisha...and the list goes on and on...
Ni mjinga. Wakimuomba athibitishe au arudishe hizo mali za miaka 10 watamfilisi. Hata kama hakuna sheria ya hivyo wanaweza wakamtungia na ikaapply retrospectively. Wenzake wote waliohama anafikiri hawajui magoli ya mikono? Hivi anawajua vizuri CCM wenzake huyu?Wanasiasa hawa shem.
Inasemekana kesha kamatwa tayari
Makongoro Mahanga akamatwa na Polisi - JamiiForums
mkuu ili uibe 'kur@' sio pesa tu...unahitaji miundombinu yote ya 'dolari' hao hawawezi..Hicho ni kisingizio. Siku hizi unaweza kuwa Moscow lakini ukaiba kura za Florida au Mwanza. Wakiwekeza hizo billions za ruzuku, inawezekana kabisa jirani [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Kumpa jirani nini.?Bora man u kuliko kumpa jirani
Bora kioze kuliko kumpa jirani
[emoji113]
Umeanza [emoji16][emoji16][emoji16]Bora matobolwa kuliko michembe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa anapenda sifa sana. CDM walitegemea lowassa awatapa siri nyingi za ccm na kuizitumia kipnd cha kampen ila baba wa watu akaamua kutumia busara za kuziweka kando maana hali isingekua haliNi mjinga. Wakimuomba athibitishe au arudishe hizo mali za miaka 10 watamfilisi. Hata kama hakuna sheria ya hivyo wanaweza wakamtungia na ikaapply retrospectively. Wenzake wote waliohama anafikiri hawajui magoli ya mikono? Hivi anawajua vizuri CCM wenzake huyu?
HAPANABora kioze kuliko kumpa jirani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeanza [emoji16][emoji16][emoji16]
Marahabaaaa
mkuu ili uibe 'kur@' sio pesa tu...unahitaji miundombinu yote ya 'dolari' hao hawawezi..
HAPANA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sahau basiiiiI told ya! [emoji1][emoji1]... Pole mwaego!
😀😀😀😀😀😀😀😀😀Ni mjinga. Wakimuomba athibitishe au arudishe hizo mali za miaka 10 watamfilisi. Hata kama hakuna sheria ya hivyo wanaweza wakamtungia na ikaapply retrospectively. Wenzake wote waliohama anafikiri hawajui magoli ya mikono? Hivi anawajua vizuri CCM wenzake huyu?
mkuu ili uibe 'kur@' sio pesa tu...unahitaji miundombinu yote ya 'dolari' hao hawawezi..