Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Funny_Dentist_ezghw_Pak101(dot)com.jpg
 
Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia mwalimu wa Shule ya Msingi Kibeta, Respicius Patrick (50) kwa tuhuma za mauaji, baada ya kumchapa mwanafunzi wa darasa la tano wa shule hiyo, Siperius Eradius na kusababisha kifo chake.

Akizungumza leo Jumanne Agosti 28, 2018 kamanda wa polisi mkoani Kagera, Augustino Ollomi amesema kifo cha mwanafunzi huyo kimetokea jana wakati akipelekwa hospitali.

Amesema marehemu alipelekwa kwa Patrick ambaye ni mwalimu wa nidhamu na mwalimu mwingine wa shule hiyo, Herieth Gerard (46), aliyedai kupotelewa na mkoba wake.
 
Amebainisha kuwa mkoba wa Herieth ulikuwa na Sh75,000, vitambulisho vya uraia na kupiga kura ingawa hakuwa tayari kutoa ufafanuzi kama mkoba huo baadaye ulipatikana, akisema uchunguzi bado unaendelea.

"Baada ya mkoba kupotea alimpeleka kwa Respicius ambaye alijichukulia sheria mkononi pengine alitumia nguvu kubwa akamuumiza kama angemkaripia tu pengine asingekufa," amesema Ollomi.

Amesema watu kadhaa wamehojiwa tangu kutokea kwa tukio hilo, wakiwemo wanafunzi walioshuhudia tukio hilo.
 
Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia mwalimu wa Shule ya Msingi Kibeta, Respicius Patrick (50) kwa tuhuma za mauaji, baada ya kumchapa mwanafunzi wa darasa la tano wa shule hiyo, Siperius Eradius na kusababisha kifo chake.

Akizungumza leo Jumanne Agosti 28, 2018 kamanda wa polisi mkoani Kagera, Augustino Ollomi amesema kifo cha mwanafunzi huyo kimetokea jana wakati akipelekwa hospitali.

Amesema marehemu alipelekwa kwa Patrick ambaye ni mwalimu wa nidhamu na mwalimu mwingine wa shule hiyo, Herieth Gerard (46), aliyedai kupotelewa na mkoba wake.
Isee .. Walimu mbona wanakuwa katili kiasi hiki skuiz.?
 
Back
Top Bottom