@Iceman 3D muzee asiyeshiba kande[emoji23][emoji23][emoji23]Bado kale kajamaa kafupi kabishi sensitivu karafiki ka carbamazepine ka Iceman 3D. Mlipotea pamoja. Tukatafute nako tukarudishe uzi wetu uendelee kuwa gado [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Ambia@Iceman 3D wangu nammiss[emoji24][emoji24][emoji24]Ice man alikua na shida flani hivi still anapambana nayo na akiishinda atarudi kundini
Hiki choo si kizuri kwa usalama wa pua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena choo chenyewe ni hikiView attachment 849282
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiki choo si kizuri kwa usalama wa pua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]