Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mara ya kwanza kabisa kukuona niligugo hilo jina. Nikakuta kumbe ni dawa ya kifafa. Mpaka leo sijapata jibu ni kifafa au degedege ipi unayotibu. Ni ile ya kichwa kikubwa au ile ya kichwa kidogo? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Ukipata degedege carbamazepine ipo itakutibu[emoji16][emoji16]
Ni Sudani ya KusiniHuyu atakuwa anatokea somalia bila shaka
Aaah ushawah ona wap dela harusin,ntatupia nyelamumo ya pink[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]