Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na mipango ya Mungu kamwe huwa haipingiki waka kukwamishwa. Hongera mkuu. I hope unajua kuwa inasemekana huyu ni binti wa Kisukuma na kama unavyojua Wasukuma huwa hatuchezi mbali na mahari tena ng'ombe hasa za ukweli. I hope umejipanga vizuri [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mende kiboko wewe ohooo !!!
 
Hahahaha... Mkuu dada yangu ni Numbisa jf nzima and no more.



God's Plan.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro bana
 
Yaani nikikuta mende chooni haja inaisha hapohapo[emoji124][emoji124][emoji124]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro bana


Aandae tu mahari. Tena muda mrefu sijadai mahari basi mwenyewe atanikoma. Ka uniq kamenizungusha mpaka nimekaribia kukata tamaa. Hasira zote nitazimalizia kwake [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…