carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Watu wana zoom[emoji23][emoji23]
Shhhh !!!Bro mbele ya mahari anasahau kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Bro mbele ya mahari anasahau kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimepita hukoooo, nimewaambia watu Yuda aliithamini Shilingi akamtosa best yake, hakujua shilingi inaua, Shilingi ikamfafanulia kwa kujiua mwenyewe. Aliyetengeneza shilingi nyoko kweli kweli [emoji42][emoji42][emoji42]
Jamaa anaringishia kuishi marekan hivyo watu waaua kumkosoa mdogo mdogoWatu wana zoom[emoji23][emoji23]
Huwa anashibaga chips yule[emoji23]Anakwambia akila hayo hashibi
@Iceman 3D alisema hayamshibishi [emoji16][emoji16][emoji16]
Wivu tu hakuna kingineJamaa anaringishia kuishi marekan hivyo watu waaua kumkosoa mdogo mdogo
@Iceman 3D alisema hayamshibishi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa anashibaga chips yule[emoji23]
Limbukeni gani tena huyo?Jamaa anaringishia kuishi marekan hivyo watu waaua kumkosoa mdogo mdogo
Mwanaume wa Dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msanii AYLimbukeni gani tena huyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shhhh !!!
Usinikoseshe ng'ombe bana. Wakija kushtuka nshasepa miye. Ng'ombe mmoja pale Pugu ni laki 4. Sasa piga mahesabu hapo mwenyewe utapata jibu !!!