Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446634485_272514.jpg
 
Aliyepata mtoto juzi juzi hapa kule Texas? Kaja kumzalia mtoto huku ili apate uraia wa Marekani. Pengine ana malengo yake. Itabidi tumpeleke kwa Le Kokabangaz akapigwe msasa. Au kwa vile ye ni tajiri tayari hana shida...
Kuna mmoja ana blog(simtaji jina je kama ndo mmiliki wa mashing'weng'we) huyo alinishangaza siku mkewe kajifungua marekani,jamaa alitaja hosp hadi wodi na rangi ya dokta na mesi walimhudumia mkewe daah nilishangaa sana kumbe dili kubwa kupata mtoto marekani
 
Back
Top Bottom