Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna mmoja ana blog(simtaji jina je kama ndo mmiliki wa mashing'weng'we) huyo alinishangaza siku mkewe kajifungua marekani,jamaa alitaja hosp hadi wodi na rangi ya dokta na mesi walimhudumia mkewe daah nilishangaa sana kumbe dili kubwa kupata mtoto marekani
Unamsemea dada nanii??

Wangu naenda zalia usukumani sitaki shida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mtoto ye yote anayezaliwa Marekani anakuwa Mmarekani otomatikale. Wanawake wenye mimba kutoka China na mataifa mengine duniani hupambana kufa na kupona ili waje kujifungulia huku ili watoto wao wapate uraia. Na hili likitokea wazazi pia wanaqualify kupata vibali vya kuishi mpaka mtoto atakapokuwa na miaka 18. Trump ameanza kupambana ili kubadilisha sheria hiyo ASAP...
 
Mashing'weng'we nilishaifunga. Dola 900 za usajili mi ningezitoa wapi?
 
Mtoto ye yote anayezaliwa Marekani anakuwa Mmarekani otomatikale. Wanawake wenye mimba kutoka China na mataifa mengine duniani hupambana kufa na kupona ili waje kujifungulia huku ili watoto wao wapate uraia. Na hili likitokea wazazi pia wanaqualify kupata vibali vya kuishi mpaka mtoto atakapokuwa na miaka 18. Trump ameanza kupambana ili kubadilisha sheria hiyo ASAP...
Ndo maana jamaa alifurahi sana
 
Unamsemea dada nanii??

Wangu naenda zalia usukumani sitaki shida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Sio mdada huyo ni jamaa mwanahabari mbalimbali halafu blog sio maarufu

Hewala karibu mabugando[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitambaa
Katika masoko ya kisasa, iwe ni mitandaoni au madukani unaweza kukutana na aina mbalimbali za shuka kwa makundi tofauti ya malighafi zilizohusika kuzitengeneze. Malighafi zilizozoeleka ziadi kwa ajili ya kutengeneza shuka ni pamba, hariri na polista. Mguso na uzuri wa shuka unatofautiana kutokana na malighafi iliyotengenezea kitambaa cha shuka husika. Na hapa ndipo unakuta mazungumzo kati ya muuzaji na mnunuzi kuwa na maswali kama “je, shuka za pamba au za kuteleza?”. Kimsingi shuka zilizotengenezwa kwa pamba asilimia mia kwa mia zinapendwa kuliko shuka nyingine zote. Kwa hivyo hata bei ya shuka za namna hii ni kubwa.
 
Usukaji
Katika usukaji wa shuka tunamaanisha ule unene na uzito wa kitambaa cha shuka. Na ndio maana unakuta mnunuzi anataka kujua kama ni shuka nzito au nyepesi. Uimara na ulaini wa shuka unatokana na aina ya usukaji wake kwamba ni nyuzi kiasi gani zimetumika kwenye kila inchi ya mraba. Endapo shuka unazotaka kununua zimefungashwa katika vigezo vinavyokubalika iwe ni kitaifa na kimataifa, lazima utakuta kwenye karatasi yake ya maelezo kuna jambo hili la kiasi cha nyuzi ambapo linaandikwa ni thread count. Hesabu ya nyuzi inapokuwa kubwa ndivyo na ubora wa shuka unavyozidi. Kwa kawaida kiasi hiki cha nyuzi kinaanzia 200 hadi 1,000.
 
Muundo
Kuna miundo miwili mikuu ya shuka. Nayo ni shuka flati na shuka za kufitisha. Shuka flati hazina mpira uliyoizunguka zimekaa tu flati kama kanga wakati zile za kufitisha zina mipira kuzunguka shuka nzima au kwenye maeneo ya kona tu. Shuka za kufitisha zinatandikwa kuendana na ukubwa wa godoro na hizi ndio hasa za kulalia. Zinarahisisha utandikaji kwani huna haja ya kuchomekea kila wakati unapotaka kutandika kitanda maana tayari mipira yake imeshajibana kwenye godoro. Unachofanya ni kunyoosha kidogo tu mikunjo michache juu ya godoro tofauti na ambavyo ingekuwa kwa shuka za flati ambazo zinachomoka na kukimbia godoro.
 
Mtindo
Unaponunua shuka hakikisha mtindo wake ni kati ya mambo unayozingatia. Mtindo ni pamoja na ile michoro, mguso na rangi ya shuka. Mara unaporidhika na uimara na ulaini wa kitambaa cha shuka, ndipo unapoweza kuchagua mtindo ambao utaoana na mapambo yako mengine kwenye chumba cha kulala.
 
Ingawa dalili za mafua sio mbaya sana na hazidumu kwa zaidi ya wiki tatu, utafiti unaonyesha kuwa mafua huchangia kukwamisha maendeleo kwa kiasi fulani. Utafiti uliochapishwa katika jarida la kitabibu la Archival of Internal Medicine, umebaini mafua yanaweza kusababisha mgogoro wa uchumi wa mtu ikiwa ataugua kwa kpindi kirefu na kushindwa kufanya kazi zake za kila siku za kumwingizia kipato.
 
Back
Top Bottom