Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,645
- 7,174
Mko poa nyote
Kichwa Kichafu
ISIS
Nakadharika[emoji124][emoji124][emoji124]
Kichwa Kichafu
ISIS
Nakadharika[emoji124][emoji124][emoji124]
Haswa maana nilikuwa mda ambao duuuh hadi nashindwa kueleza ilikuwajeRaha ya test, leo Kichwa Kichafu imempa furaha na mood nzuri
Hongera tena
Team no stress
Nimefurahi kuwa test zinasaidia kutoa furaha, na kwako ulipata ushindi muda mwema kwako
Biashara biashara biashara
Natangaza mapema 80000 mniachie
NdovuTembo
mzee wa liverMzee wa mistari
HahahahaUmeanza mistari
Ukimuona juu ya mti ujue kapandishwaKobe
Ndio naniMariam chamfupa
Nisaidie mkuu kijana wenu mnaweza nipotezaMwonyeshe upendo..
Wewe tu mama utakapo kuwa na amaniWapi huko
Tutarudi baadae jamaniNowatakie mchana mwema nitarudi hapa baadae,mbarikiwe