Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kunywa maji safi na salama angalau lita 1.5-3 ili kuzuia upungufu wa maji na madini ambao unaweza kusababisha kukamaa misuli hivyo kujijeruhi zaidi.

Angalizo, vyakula hivi vinatakiwa kuandaliwa kwa kuzingatia kanuni za afya.
 
Nane, dhibiti kuongezeka uzito au kunenepa kiholela kwa kuepuka kula vyakula vyenye wanga nyingi, mafuta mengi na sukari nyingi ikiwamo vile vya mtaani, migahawa yakisasa na vya makopo.

Kumbuka uzito au unene mkubwa unaupa mwili shinikizo kubwa na hivyo kuwa katika hatari ya kujijeruhi. Pima uzito mara kwa mara ili kubaini hali hii.
 
Australia. Mwanariadha mwenye kasi zaidi duniani, Usain Bolt, anatarajiwa kuichezea timu ya soka ya Central Coast Mariners, Ijumaa hii katika mechi ya kirafiki.
Bolt ambaye kwa kipindi sasa amekuwa akihangaika kusaka timu ya Ligi yoyote kubwa duniani aweze kuonyesha kipaji chake kwenye soka, amepewa nafasi ya kuichezea Central Coast Mariners, anakofanya majaribio.
 
Nyota huyo kutoka Jamaica, mwenye miaka 31 anayeshikilia medali nane za dhahabu katika mashindano ya Olimpiki, alishindwa kupata timu Italia na Ujerumani alikoenda kufanya majaribio.
Bingwa huyo wa Dunia wa riadha katika mbio za mita 100 na 200 aliyestaafu riadha, alianza kukata tamaa kabla ya Kocha wa Mariners kumuita ili aonyeshe uwezo.
Kocha Mike Mulvey, alisema Bolt ana kipaji na ana kasi lakini anapaswa kuongeza bidii zaidi kwa sababu kucheza soka katika timu za Ligi Kuu ni jambo zito.
 
Bolt anahitaji kurekebisha baadhi ya mambo ana spidi nzuri lakini anahitajika kufahamu kuwa soka ni mchezo wa ushirikiano, hivyo anapaswa kukaa na wenzake,” alisema.
Mulvey aliongeza kusema kuwa anaamini Bolt aliyestaafu riadha mwaka jana anahitaji muda usiozidi miezi sita kuwa fiti kucheza soka la ushindani.
 
Ligi Kuu ya Australia inatarajiwa kuanza mwishoni mwa Oktoba hivyo Bolt, anao muda wa kujifunza ma kurekebisha dosari ndogondogo alizonazo.
Mchezaji huyo anayetaka kucheza nafasi ya ushambuliaji, alifanya majaribio katika klabu kama Borussia Dortmund ya Ujerumani, Mamelodi ya Afrika Kusini na Stromsgodset ya Norway, lakini alifeli.
 
duh! siku zimeenda koffii

Yaaa uzee huo, lakini bange Hajaacha. Angalia jicho hilo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
FB_IMG_1535464650060.jpg
 
*Bado haijawa proved kwamba alijirusha mwenyewe, tunaendelea na upelelezi wakati tulipoenda kukagua eneo la tukio tulikuta pochi yake ikiwa na simu ambapo hatukuzikuta line zote mbili kwenye simu hiyo lakini pia simu moja na line yake havionekani kabisa, pili inasemekana aliwasiliana na mkurugenzi mkuu kwa njia ya E-mail kuwa akakabidhi document za ofisi ambazo bado zilikuwa mikononi mwake cha kushangaza documents zinakabidhiwa saa kumi usiku?, tumeenda kukagua cctv camera kuna baadhi ya matukio haonekani mfano ilifika sehemu Sr. anapanda ngazi mara ghafla akapotea mpaka tukashtuka nikiwa na Rco, kwa kweli ni mambo ya ajabu tulioyaona. Na ukumbuke pia kabla tulikuwa tunapeleleza upotevu wa zaidi ya Tshs. Milioni 500, ambapo yeye alikuwa mkuu wa idara ya fedha lakini katika uchunguzi wetu tuligundua watu wa chini yake ndio waliohusika kupiga hizo hela kwa kufungua akaunti tofauti na zile za hospitali. Lakini vilevile ikumbukwe BMC inamilikiwa na Kanisa katoliki na serikali pia hivyo kuna pande mbili za uongozi na inavyosemekana hizi pande mbili hazikuwa na maelewano mazuri. Kitendo cha Sister huyu kudondoka kutoka katika corridor ya ghorofa ya tatu karibu kabisa na dirisha la mkurugenzi mkuu ambaye yuko upande wa serikali pia imeleta maswali mengi ya kujiuliza. Hiyo ndio taarifa ambayo naweza kuwajulisha kwa sasa, tuacheni tufanye upelelezi then tutakuja na taarifa kamili*
Tayari mauzauza yameanza. Pesa mwanaharamu kabisa!!!
 
Back
Top Bottom