Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

‪Ujerumani imeyarudisha nchini Namibia mabaki ya miili ya Watu wengi waliouawa wakati wa mauaji ya kimbari karne moja iliyopita wakati nchi hiyo ilipokuwa ikitawaliwa na Ujerumani, mabaki hayo yalipelekwa nchini Ujerumani kwa ajili ya kufanyiwa utafiti.
 
Hizi mambo za kurekebisha maumbile sasa zishakuwa ni too much aiseh[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

‪Leah Cambridge (29) Raia wa Uingereza na Mama wa Watoto Watatu amefariki wakati akifanyiwa upasuaji wa kuongeza ukubwa wa makalio katika Kliniki moja nchini Uturuki, imeelezwa Leah alitoa fedha zenye thamani ya Milioni 8 za Kitanzania ili afanyiwe upasuaji huo.
 

Even God cant satisfy women
 
Tunaopinga adhabu ya viboko mashuleni na kusema ifutwe kabisa tuna maana rahisi; adhabu hasa inayoleta maumivu ya kimwili kwa watoto ni ukatili & unyama. Walimu wafundishwe njia mbadala za kuleta nidhamu kwa watoto zaidi ya kuwaumiza na kuwaweka makovu. Tusisubirie mwingine auawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…