Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hizi mambo za kurekebisha maumbile sasa zishakuwa ni too much aiseh[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

‪Leah Cambridge (29) Raia wa Uingereza na Mama wa Watoto Watatu amefariki wakati akifanyiwa upasuaji wa kuongeza ukubwa wa makalio katika Kliniki moja nchini Uturuki, imeelezwa Leah alitoa fedha zenye thamani ya Milioni 8 za Kitanzania ili afanyiwe upasuaji huo.View attachment 850636
Mtu mwenyewe uhenga umemuanza anaongeza makalio ya nini?
 
‪Ujerumani imeyarudisha nchini Namibia mabaki ya miili ya Watu wengi waliouawa wakati wa mauaji ya kimbari karne moja iliyopita wakati nchi hiyo ilipokuwa ikitawaliwa na Ujerumani, mabaki hayo yalipelekwa nchini Ujerumani kwa ajili ya kufanyiwa utafiti.
Wajerumani lakini wamegoma kuomba msamaha. Shwaiini zao
 
‪UNAAMBIWA Wataalamu wa mambo wanasema kuwa Mwanaume mwenye njaa huvutiwa sana na Wanawake WANENE.‬


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:.........[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ushindwe na ulegee [emoji16][emoji16][emoji16]
ad44515f-6cf7-4f80-ae32-b3fcecb2a1c1.jpg

Na hapa sina njaa hata kidogo
 
Back
Top Bottom