Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Haha Nakuzeesha ujueMarahabaa
Haha Nakuzeesha ujueMarahabaa
Bro ananifurahishaga sana. Sijui anawazaga nini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]Ile blue naniliii
Bro ananifurahishaga sana. Sijui anawazaga nini [emoji16][emoji16][emoji16]
Tayari nshazeeka ujueeHaha Nakuzeesha ujue
Haha kiswahili chako cha kikenya au ni copy and paste?[emoji23]Nani amewahi ona vile hutu tudem flat screen hukuwa na maringo. Kengine hapa sahii nimeskia kakiambiwa chukua change ukanunue matako ndo ujifunze kuongea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji31]hadi sahii tuko weighbridge tukipimiwa kicheko hapa kwa highway
Mwanamke hazeeki.Tayari nshazeeka ujuee
Japan ni sa ngapi?22:13
Umefanyaje?Ukarimu na upendo
Ila ujue mzee baba haeleweki yuko upande gani bado.
Ndio mtindo wetuUmefanyaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ushawai enda Kwa duka ya Muhindi ukapata Ako na ile dot ya Red [emoji837] kwa forehead...
Mkiongea unaona ni kama anakurecord?!
Kuna harufu hapa. Sio ya kawaida*Bado haijawa proved kwamba alijirusha mwenyewe, tunaendelea na upelelezi wakati tulipoenda kukagua eneo la tukio tulikuta pochi yake ikiwa na simu ambapo hatukuzikuta line zote mbili kwenye simu hiyo lakini pia simu moja na line yake havionekani kabisa, pili inasemekana aliwasiliana na mkurugenzi mkuu kwa njia ya E-mail kuwa akakabidhi document za ofisi ambazo bado zilikuwa mikononi mwake cha kushangaza documents zinakabidhiwa saa kumi usiku?, tumeenda kukagua cctv camera kuna baadhi ya matukio haonekani mfano ilifika sehemu Sr. anapanda ngazi mara ghafla akapotea mpaka tukashtuka nikiwa na Rco, kwa kweli ni mambo ya ajabu tulioyaona. Na ukumbuke pia kabla tulikuwa tunapeleleza upotevu wa zaidi ya Tshs. Milioni 500, ambapo yeye alikuwa mkuu wa idara ya fedha lakini katika uchunguzi wetu tuligundua watu wa chini yake ndio waliohusika kupiga hizo hela kwa kufungua akaunti tofauti na zile za hospitali. Lakini vilevile ikumbukwe BMC inamilikiwa na Kanisa katoliki na serikali pia hivyo kuna pande mbili za uongozi na inavyosemekana hizi pande mbili hazikuwa na maelewano mazuri. Kitendo cha Sister huyu kudondoka kutoka katika corridor ya ghorofa ya tatu karibu kabisa na dirisha la mkurugenzi mkuu ambaye yuko upande wa serikali pia imeleta maswali mengi ya kujiuliza. Hiyo ndio taarifa ambayo naweza kuwajulisha kwa sasa, tuacheni tufanye upelelezi then tutakuja na taarifa kamili*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushawai enda Kwa duka ya Muhindi ukapata Ako na ile dot ya Red [emoji837] kwa forehead...
Mkiongea unaona ni kama anakurecord?!
Wacha hizooMwanamke hazeeki.