Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1.Christiano Ronaldo -(1985)
Huyu ni mwanasoka nguli kabisa duniani kwa sasa akiwa ametwaa tuzo tatu za mwanasoka bora wa dunia na mataji mbalimbali duniani.Kwa sasa anchezea klabu ya soka ya Real Madrid ya nchini Hispainia amezaliwa nchini Ureno(Portugal).
 
2.Elton John (1947)


Huyu ni mwimbaji,mtunzi wa nyimbo,mwandishi wa nyimbo,producer,na mpiga kinamba japo ameandamwa na skendo mbalimbali za ushoga lakini kamwe hatumii kilevi,anakumbukwa sana kwa nyimbo yake nzuri kabisa iitwayo Sacrife,kwa sasa ameolewa.
 
.Bill Gates – (1955)

William Henry Gates III) Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft,William Gates III H anajulikana kama Bill Gates alizaliwa tarehe 28 Oktoba, 1955 na kulelewa katika kijiji cha Seattle.
 
4.David Beckham-(1975)
Huyu ni mchezaji wa mpira wa zamani wa timu za Manchester Uniten,Real Madrid na timu ya taifa ya uingereza pia ni manamitindo maarufu sana amezaliwa Leytonstone United Kindom huko Uingereza.
 
5.George W.Bush-(1946)
Huyu alikuwa ni raisi wa Marekani, kwa sasa ni mfanyabiashara,pia ni mwanasiasa mkongwe amezaliwa New Heaven Nchini Marekani.
 
Eminem-(1972)
Huyu yeye ni mwanamuziki wa miondoko ya kufokafoka , pia ni mwandishi mzuri wa nyimbo,pia ni producer ,amezaliwa Kansas City Marekani.
 
7.Akon-(1973)
Huyu japo kwa ni mwanafunzi mwenye asili ya afrika kutoka nchini Senegal ,anafanya vizuri sana nchini marekani kwenye nyimbo aina ya R&B,pia ana skendo ya kudanganya umri mara kazaliwa mwaka 1981 wengine wanasema kazaliwa 1973.
 
8.Jada Pinkett Smith-(1971)
Huyu ni mke wa Will Smith yule muigiza na mwanamuziki wa marekani,yeye ni mwandishi wa vitabu ,pia ni mfanyabiashara,muimbaji,mwandishi wa nyimbo,muongozaji na mtengeneza filamu,na ni mwanamitindo,amezaliwa Marekani.
 
9.Jennifer Lopez-(1969)
Mwigizaji,mwimbaji,mwandisnyimbo,producer,mjasiliamali,mwanamitindo, na mtayarishaji vipindi vya television,amezaliwa Marekani.
 
JE, unaufahamu wimbo wa Guantanamera? Ni moja ya nyimbo maarufu zaidi katika kumbi za muziki duniani! Kwa kifupi, Guantanamera ni mwanamke kutoka Guantanámo. Kwa lugha za asili ya Kilatini kama Kihispania ambayo ndiyo lugha ya Cuba, Guantanámo ni neno la jinsia ya kiume (masculine), ambapo jinsia ya kike (feminine) ni Guantanamera!
Kwa hivyo, unavyosikia wimbo wa Guantanamera katika kumbi za Magomeni (Dar), Mwanjelwa (Mbeya) na Kashai (Bukoba) ujue mwimbaji ‘anamlilia’ au anambembeleza mwanamke kutoka Guantanámo.
 
Kwa kifupi, Marekani ililichukua eneo la Guantanáno kwa ‘maguvu’ mwaka 1903 kwa mkataba wa miaka 99, baada ya nchi hiyo kushinda vita dhidi ya Hispania iliyokuwa inaitawala Cuba. Tangu wakati huo, Marekani imekuwa ikilitumia eneo hilo kama kituo cha kijeshi na sasa imelifanya kuwa gereza pia.
 
Hata hivyo, baada ya utawala wa Kikomunist wa Fidel Castro, kuingia madarakani, Cuba imekataa tangu mwaka 1959 kupokea hata senti moja ambayo ni malipo ya mkataba huo ikiitaka Marekani iondoke Guantanámo. Marekani nayo imekuwa ikitumia ubabe wa kutoondoka eneo hilo.
 
Wanasiasa wa Marekani walioamua kuwafunga ‘magaidi’ waliowakamata na kuwapeleka Guantanámo – enzi ya utawala wa George Bush na viongozi waliofuata – walifanya hivyo kwa kujua kwamba iwapo pangetokea zahama ya gereza hilo la Guatanámo kuvamiwa na kushambuliwa, nchi ambayo ingepata madhara kwanza ni Cuba, si Marekani.
Kisiwa cha Cuba kiko umbali mrefu wa zaidi ya kilomita 1,000 kutoka Marekani
 
‪UNAAMBIWA Wataalamu wa mambo wanasema kuwa Mwanaume mwenye njaa huvutiwa sana na Wanawake WANENE.‬


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:.........[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Niliiona mahali nikasita kumtag huyo cc ... wako hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…