Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaa anaitwa SANTA HERMANDAD alizaliwa mwaka 270 AD katika mji wa marya (Kwa sasa ni UTURUKI).

Siku moja akiwa mtaan nchini spain kulikuwa na vurugu kubwa iliyoanzishwa na vikundi vya wahuni, Kuna jamaa anaitwa KING LEON alikua anataka kupita pale lakini alishindwa kutokana na zile vurugu.

Hivyo basi ilibidi atafute mtu wa kumvusha halaf atamlipa, Ndio akaweza kumuona SANTA HERMANDAD jamaa alikua mbavu na mwili mkubwa.

Alivushwa vizuri bila shida yoyote, na baada ya hapo jamaa ndio akaweka rekodi ya kuwa BODYGUARD wa kwanza duniani.
 
Kwenye ndege kuna kuaga na marubani wawili lakini wale marubani huwa hawali chakula kinachofanana.

Kila mmoja hupewa chakula tofauti na mwenzake kwa sababu iwapo kama sahan moja itakua imetiwa sumu na yule mmoja akafa basi yule aliebaki atasukuma chombo kwa hewa.

hiyo ndio sababu kila mmoja anapewa chakula tofauti na mwenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…