Nimepata pumziko kidogo la kazi
Swafiiii sana walahiKiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) Julius Malema amewaambia Waandishi wa habari kuwa bara la Afrika linatakiwa lianze kutumia lugha ya Kiswahili kama lugha kuu ya mawasiliano kwa madai ya kwamba lugha hiyo inazungumzwa sana barani Afrika.
Ndiyo unataka kusema nini sasa? Kaone !!!
Wanaijeria hawatakubali. Wanataka mojawapo kati ya lugha zao (Kiyoruba, Kihausa au Kiibo.Kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) Julius Malema amewaambia Waandishi wa habari kuwa bara la Afrika linatakiwa lianze kutumia lugha ya Kiswahili kama lugha kuu ya mawasiliano kwa madai ya kwamba lugha hiyo inazungumzwa sana barani Afrika.