Afadhali nisiielewe. Mlioufanya ni ukatili wa kutisha na mimi nawaombea dhambi hiyo iendelee kuwatafuna tu huko mliko msikutane na mapenzi ya kweli daima dumu. Haki ya nani mtapata tabu sana...na yajayo yanafurahisha. [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ile bet ya avatar hutaielewa shem
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] [emoji120] [emoji120] All the best
Mkuu hiyo laana haifai kutuangukia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Afadhali nisiielewe. Mlioufanya ni ukatili wa kutisha na mimi nawaombea dhambi hiyo iendelee kuwatafuna tu huko mliko msikutane na mapenzi ya kweli daima dumu. Haki ya nani mtapata tabu sana...na yajayo yanafurahisha. [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]View attachment 852813
Nawaombea kwa Mungu watu wangu wa karibu wasikutwe na dhahama hiyo... Ni kifo yakimfika mtu.
Hatari kabisaNawaombea kwa Mungu watu wangu wa karibu wasikutwe na dhahama hiyo... Ni kifo yakimfika mtu.
Siyo likes pekee mkuu. Ni ile hulka ya asili ya binadamu ya kutaka kuwa appreciated. Hata wewe unayo! Isitoshe uzi huu umeshabadilika sana. Siyo likes peke yake bali kuna kila kitu humu. Na zaidi ya yote kuna sense of belonging na humu ni nadra kukuta watu wakitoleana mapovu. Ni mahali salama sana pa kukutana na marafiki, kutaniana, kucheka, kuelimika na hata kurafikishika !!!Duh comments laki nane na ushuzi kweli watu tunapenda likes
Salini ili kikombe hicho kiwaepuke. Mliona mateso wakati ule bro wangu anapambana kwenda Masaki Peninsula money loves me I touch new money everyday wallahi. Bado tena mmemrudisha kule kule kwenye parabozi. Mna roho za aina gani nyinyi?Mkuu hiyo laana haifai kutuangukia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haki ya Mungu walahi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Salini ili kikombe hicho kiwaepuke. Mliona mateso wakati ule bro wangu anapambana kwenda Masaki Peninsula money loves me I touch new money everyday wallahi. Bado tena mmemrudisha kule kule kwenye parabozi. Mna roho za aina gani nyinyi?
Duh comments laki nane na ushuzi kweli watu tunapenda likes
TruthSiyo likes pekee mkuu. Ni ile hulka ya asili ya binadamu ya kutaka kuwa appreciated. Hata wewe unayo! Isitoshe uzi huu umeshabadilika sana. Siyo likes peke yake bali kuna kila kitu humu. Na zaidi ya yote kuna sense of belonging na humu ni nadra kukuta watu wakitoleana mapovu. Ni mahali salama sana pa kukutana na marafiki, kutaniana, kucheka, kuelimika na hata kurafikishika !!!
Nilikua najaribu kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]awesomeee nimepatiaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ankooo
Awesome. Thank u much mamie