Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 852770
Zisi izi tuu machi. Mkipumzika mniambie. Kwa sasa baiii [emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji44][emoji44]🤤🤤🤤[emoji24][emoji24][emoji24]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 852770
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20180830_224650.jpg
 
Wanaume wengine katili sana !!!
View attachment 852744

Lohhh!!!
Wanawake wanatupenda sisi wanaume kwa dhati kabisa, wanaturuhusu tuwafukunyue vile tutakavyoona tunaridhika... Malipo yake tunawaua kihisia.
Wanaume wanaowadhalilisha wanawake wengi wao nadhani hawana ndugu wa kike na kuna uwezekano hawajazaliwa na mwanamke.
4680953fe1cb911ae8cd56849dd2ec67.jpg

Sijui kwanini hatuwaheshimu hawa viumbe wa Mungu! Wanapitia magumu sana hapa duniani.
Waache walio tangulia wapumzike kwa amani. Naamini IPO siku tutakuja kubaki wanaume peke yetu duniani kama adhabu ya unyanyasaji. Tutawafuata makaburini ili tuwaombe msamaha ila hawatatusikia,maana wamenyamazishwa... Tutalala pembeni yao kuitafuta amani... Sijui kama tutaipata..

Rest in peace mama Andy[emoji120] [emoji120]
 
Lohhh!!!
Wanawake wanatupenda sisi wanaume kwa dhati kabisa, wanaturuhusu tuwafukunyue vile tutakavyoona tunaridhika... Malipo yake tunawaua kihisia.
Wanaume wanaowadhalilisha wanawake wengi wao nadhani hawana ndugu wa kike na kuna uwezekano hawajazaliwa na mwanamke. View attachment 852762
Sijui kwanini hatuwaheshimu hawa viumbe wa Mungu! Wanapitia magumu sana hapa duniani.
Waache walio tangulia wapumzike kwa amani. Naamini IPO siku tutakuja kubaki wanaume peke yetu duniani kama adhabu ya unyanyasaji. Tutawafuata makaburini ili tuwaombe msamaha ila hawatatusikia,maana wamenyamazishwa... Tutalala pembeni yao kuitafuta amani... Sijui kama tutaipata..

Rest in peace mama Andy[emoji120] [emoji120]
Maneno mazito yenye ujumbe mzuri kabisa..Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom