Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1535737120966.jpg
 
Ila siku zingine uwe una mhurumia, namuoneaga huruma sana anavyo "kudeku" kwa uoga uoga. Jifunze kusahau maumivu yaliyo pita, ni binadamu kama wewe tu,sema ile akili yake nusu na robo kupenda mpira ndo changamoto[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata wakirudiana hawatadumu. EPL iko on...na wewe upo pia sijui na mitego ya avatar sijui nini. Mpaka leo sijaelewa ile sababu uliyotoa ya kumnyang'anya. Kijana wa watu ameanza tena kujiimbia maparabozi. Muwage na utu jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
MBEYA:
Baba amuua Mwanae, Mifupa ya Marehemu yaibwa.

Leo August 31, 2018 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya wametusogezea matukio mawili yaliyotikisa mkoa huo la kwanza ni Mwanaume mmoja anaefahamika kwa jina la Geofrey Emilio anashikiliwa kutokana na kumuua mtoto wake aitwaye Prince Geofrey mwenye umri wa miezi 5.

Tukio la pili ni ni msako wa watu wanaodaiwa kufukua kaburi na kisha kuchukua mifupa ya mwili wa marehemu ambaye alikuwa na ulemavu wa ngozi [Albinism].

Matukio hayo yameelezewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Modestus Chambu akizungumza na Waandishi wa Habari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanyakyusa yaani. Kusoma wamesoma sana lakini bado tu. Aaaaaargh !!!
 
Back
Top Bottom