Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uwezekano wa beki huyo wa Ujerumani Boateng kusalia na mabingwa hao wa Bundesliga uko nusu nusu
Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester City alihusishwa na uhamisho wa Manchester United msimu huu , lakini klabi hiyo ya ligi ya dara la kwanza huenda ndiko anakoelekea.
 
Kiungo wa kati wa zamani katika klabu ya Manchester United Kagawa hakushiriki katika mechi ya ufunguzi wa klabu ya Dortmund dhidi ya RB Leipzig na ameripotiwa kutokuwa miongoni mwa mipango ya meneja mpyaLucien Favre
Huku mchezaji mpya aliyesajiliwa Axel Witsel na Thomas Delaney wakitarajiwa , mchezaji huyo wa Japan huenda akaondoka katiika uwanja wa Westfalenstadion katika siku ya mwisho ya uhamisho.
 
Kandarasi ya kiungo wa kati wa Itali Marchisio katika klabu ya Juventus ilikatizwa kutokana na makubaliano kati ya pande zote mbili na sasa anatafuta klabu mpya.
Porto na Benfica wamehusishwa ijapokuwa klabu nchini Ureno zina hadi tarehe 21 Septemba kufanikisha makubaliano yao.
 
Kandarasi ya kiungo wa kati wa Itali Marchisio katika klabu ya Juventus ilikatizwa kutokana na makubaliano kati ya pande zote mbili na sasa anatafuta klabu mpya.
Porto na Benfica wamehusishwa ijapokuwa klabu nchini Ureno zina hadi tarehe 21 Septemba kufanikisha makubaliano yao.
 
Loftus-Cheek alihudumu msimu uliopita kwa mkopo katika klabu ya Crystal Palace, ambapo mchezo wake ulimfanya kuitwa katika kikosicha cha timu ya taifa ya Uingereza cha kombe la dunia.
Huku Jorginho, N'Golo Kante, Ross Barkley na Mateo Kovacic wakiwa mbele yake katika wachezaji wanaotarajiwa kucheza katika kikosi vcha kwanza cha timu katika klabu ya Stamford Bridge, Loftus-Cheek huenda akaanza kutafuta klabu mpya.
 
Real Madrid huenda ikaanza kumtafuta kiungo wa kati anayetumia mguu wa kushoto iwapo Jesus Vallejo na Hermoso watalengwa
Hermoso alijiunga na Espanyol kwa dau la £360,000 msimu uliopita na Real ina fursa ya kumnunua tena mchezaji huyo kwa dau la £13.5m.
 

Huyu kocha huenda ni Muhaya wa Tanzania tusijue[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 

Hata alikijimwagia ujiko bado kutumbuliwa kunamuhusu swaini zake
 

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Mpuuzi kweli huyu kocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…