Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,812
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe ulionaYaani nyie wote ni shuwaiinii kuliko shwaini zote za humu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe mwenyewe ulilipuka sana kwenye uzi wa marehemu wa Bugando
Sikuwahi muona akiwaka aisee!! Katoa cheche hatari.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee kumbe bro nae anaziweza ligi
[emoji23][emoji23][emoji23], yaani!Nimecheka Sana, naona mmeamua Wakolomije kurudi kwenye ligi. Kuna jamaa alimuomba waende Pale Mbezi kakaako kawaka vibaya mno [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii kanzu ni kali[emoji91][emoji91]
Ooow!!
[emoji106][emoji106]Ooow!!
Asante sana maa[emoji120][emoji120][emoji120]
Huu ni uonezi shem,unajua kijana ali bet penzi letu kwenye avatar na ipielo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali nisiielewe. Mlioufanya ni ukatili wa kutisha na mimi nawaombea dhambi hiyo iendelee kuwatafuna tu huko mliko msikutane na mapenzi ya kweli daima dumu. Haki ya nani mtapata tabu sana...na yajayo yanafurahisha. [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]View attachment 852813
Hii laana inamrudia mzee wa ipielo[emoji23][emoji23]Mkuu hiyo laana haifai kutuangukia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Salama kabisa namshukuru Mungu kwakweli.[emoji106][emoji106]
Za mwamko??
@Mohabbat par itna yaqeen
Yaani hii kitu nafanya kila mara bila sababu za msingi[emoji23][emoji23][emoji23]
Mie naona siku hizi nimeacha [emoji23]..Lakini zamani ilikuwa nikiamka tu ndo kitu cha kwanza + muda wa kulala.Yaani hii kitu nafanya kila mara bila sababu za msingi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni special kwako tuKumbe unajua kuhonga eeh?
Mie sijui kama nitaacha kwakweli[emoji16]Mie naona siku hizi nimeacha [emoji23]..Lakini zamani ilikuwa nikiamka tu ndo kitu cha kwanza + muda wa kulala.
@Mohabbat par itna yaqeen
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie sijui kama nitaacha kwakweli[emoji16]
Naumwa lakiniAiseh!
Hujambo lakini?
Pole Cole ugua uponeNaumwa lakini