Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unacheka eeh!? Mi kupona kuRIP we unacheka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani shem nimecheka hadi watu wanauliza mbona nacheka sana.
Hakika umenifurahisha leo.

Kwenye wasifu wako naimani wangeandika marehem alikufa akitetea hadhi ya ukoo,hakika alikuwa shujaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kupeana mibakteria tu hakuna cha exercise wala nini [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
In A Kiss:-
0.7gm Protein,
0.45gm Fat,
0.19gm Chemical,
0.50gm Variety Of Bacteria Will Die.
This Is True.
So Catch Your Lover And Start
Kissing And Be Healthy.

@Mohabbat par itna yaqeen
 
Kuna GIF hapa inakataa kuwekwa kwa kutumia App ningekuwekea uone ninachokizungumzia....[emoji16][emoji16][emoji16]

Uzuri ukifa sababu halisi za kifo huwa hazitajwi au huwa zinafichwa kama ni mbaya. Wangesema tu kijana huyu msomi mkakamavu ni shujaa na alikuwa haogopi kitu wala kukimbia chalenji ya aina yo yote wakati wa uhai wake. Watu wangedhani nilikuwa mjeda nimefia vitani nikipigania nchi yangu kumbe nimekuwa smothered na msambwanda wa jimama la Kimakonde [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…