Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imejikuta tu nacheka kama mazuri vile.

Msikae muda mrefu jamani bila kumwaga vichupa vyenu[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mwili una mekanizimu ya kuzitoa zikizidi. Zinatoka tu ukiwa ndotoni. Sema huyu bro yeye alikuwa kapewa green light. Hata sielewi kilichofanya ikachenji ghafla na kuwa red. Kwa namna yo yote ile kende lazima zimuume tu. Ila baada ya muda huwa zinatulia. Ndiyo maana nimemuuliza kama bado zinauma mpaka sasa hilo litakuwa ni tatizo jingine.

Wanawake wengi wanajua. Ikitokea kuna mushkeli na launch countdown ikaahirishwa basi atajitahidi akupigishe hata kwata ya mikono ili upate ahueni. Naona bro yeye aliachwa tu hapo hapo kwenye launch pad bila msaada wo wote.
 
Nazo sili.
Hivi unaanzaje kula kende?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Za kitimoto je? [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️

Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] dada watu wanakula utumbo wa kuku sembuse ashua za mbuzi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemejiiiiii

Sisi wasukuma hatushindwi kitu[emoji125][emoji125][emoji125]If you die you dieView attachment 853642
Siyo Wasukuma pekee. Mwanaume ye yote rijali inabidi kupambana. Hata huyu kwenye picha kama anataka kutesti zali akubali afanyiwe face sitting.

Ila siku ile sitakaa niisahau wallahi. Mapito ya maisha !!!
 
Back
Top Bottom