moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23], nacheka kama mazuri vile
@Mohabbat par itna yaqeen
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23], nacheka kama mazuri vile
@Mohabbat par itna yaqeen
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], watakufa wanajiona.[emoji2][emoji2][emoji2]mizigo mingine haifai kubebwa na watoto kaka ake
Wanatung'ong'a visogoni[emoji23][emoji23][emoji23]
@Mohabbat par itna yaqeen
Basi na amwage!Kuna dr mmoja aliwahi nambia kama mwanaume kichupa kimejaa(hajakutana muda mrefu na mwanamke)kuna hali inatokea ya kuumwa na kende zinakuwa kama zinavuta(kuna watu huita ngiri),dawa yake ni kumwaga tu.
Nenda hispitali kijana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], watakufa wanajiona.
@Mohabbat par itna yaqeen
Tena yeye zimeanza kuuma baada ya kuchezea konokono kwa muda mrefu. Nadhani pisitoni za injini zilikuwa tayari zimeshajikoki; na lubricants na oil ile nzito nyeupe tayari tayari. Baada ya safari kuahirishwa na injini kupozwa kwa lazima, pistoni naona zimegoma kurudi kwenye hali yake ya awali. Ama anaweza kujimwagisha oil halafu asubiri aone kama pistoni zitajitegua na kurudi sawasawa ama atahitaji msaada wa daktari kama ulivyoshauri.Kuna dr mmoja aliwahi nambia kama mwanaume kichupa kimejaa(hajakutana muda mrefu na mwanamke)kuna hali inatokea ya kuumwa na kende zinakuwa kama zinavuta(kuna watu huita ngiri),dawa yake ni kumwaga tu.
Nenda hispitali kijana
Basi na amwage!
@Mohabbat par itna yaqeen
Hahahahaha! Watakufa siku si zao.SYB anakwamvia wanatetea hadhi ya ukoo[emoji23][emoji23]
[emoji23]Shuaini zao.
Baada ya siku chache ukienda GSM pale utayakuta masofa ya walimu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]nimeshindwa kujizuia.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kwa vyovyote vile hili ndo tatizo.Tena yeye zimeanza kuuma baada ya kuchezea konokono kwa muda mrefu. Nadhani pisitoni za injini zilikuwa tayari zimeshajikoki; na lubricants na oil ile nzito nyeupe tayari tayari. Baada ya safari kuahirishwa na injini kupozwa kwa lazima, pistoni naona zimegoma kurudi kwenye hali yake ya awali. Ama anaweza kujimwagisha oil halafu asubiri aone kama pistoni zitajitegua na kurudi sawasawa ama atahitaji msaada wa daktari kama ulivyoshauri.
Siku hizi watoto wa kiume wakishaota ndevu tu basi wanajiona wamekua sana.
Halafu watoto wa kiume sijui wamekumbwa na nini sikuhizi yaani wanapenda kulelewa,kazi hawataki tunashindana nao kudanga tu mjini mfyuuu[emoji36][emoji36]
Hili sofa limenunuliwa? [emoji116][emoji116][emoji116]. Nilikuwa nalitaka hili. Nimemtafuta Dr. Shika aende akanisimamie kuweka dau lakini sikuweza kumpata...Naona mchezo umeisha leo,wameuza items 10 tu inavyosemekana.
Hahahahaha,[emoji3] [emoji3] [emoji3] watoto wavivu balaa, kuna siku tulikuwa kilioni nikamwambia kijana wetu mmoja 23yrs achanje kuni, "bamdogo siwezi hiyo" niliichokaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Uko sawa kabisa mkuu.Hili sofa limenunuliwa. Nilikuwa nalitaka hili. Nimemtafuta Dr. Shika aende akanisimamie kuweka dau lakini sikuweza kumpata...
[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ila Bongo tumeiva kisiasa sasa. Trump naye anatumia mbinu hizi hizi. Kukiwa na ishu kubwa basi anatweet matusi au anaanzisha ligi tu isiyo na maana. Vyombo vya habari wanahangaika nayoo kuja kushtuka ile ishu sensitive inayohusu mustakabali wa nchi ishapita.
Imagine ile ya kupima ukubwa wa samaki kwa rula - tena mkahawa wa bungeni kabisa...Hata na hii. Nchi nzima ni makontena ya Makonda. Kuja kushtuka jambo kubwa limeshatokea au limezimwa.View attachment 853629
Usicheke. Kende zikiuma muziki wake Bolingo tena ile ya gitaa la kasi la solo la Dali Kimoko ni cha mtoto. Tena kuna wakati zinakimbilia tumboni hata kuzishika huwezi. Mweeh !!![emoji23], nacheka kama mazuri vile
@Mohabbat par itna yaqeen
Walimu awamu hii wametokea kupendwa sana[emoji23]....Waongezwe na mishahara basi.Mungu anawaona kwakweli[emoji23][emoji23]
Wanaona maisha ya kwenye shows na movies. Hata mipicha hii ya ngono. Hawaoni hata umuhimu wa kufanya kazi kwa bidii, shule na ku-hussle. Mambo yamebadilika sana !!!Siku hizi watoto wa kiume wakishaota ndevu tu basi wanajiona wamekua sana.
Halafu watoto wa kiume sijui wamekumbwa na nini sikuhizi yaani wanapenda kulelewa,kazi hawataki tunashindana nao kudanga tu mjini mfyuuu[emoji36][emoji36]