Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mwanaume ni kupambana. Heshima ya ukoo mama [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]watoto wa siku hizi wanabeba sana mizigo isiyokuwa yao
Mie siamini eti.
@Mohabbat par itna yaqeen
Kuna wakati huwa natamanigi kuuliza kinachoendelea kwenye picha kama hii katika muktadha wa ile taaluma yetu pendwa ila huwa naishia kukaa kimya tu. Nice wallahi [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Utawala mpya unampa shida huyu mwanamke tajiri kuliko wote Afrika
Nawe umeanza yale mambo uliyokuwa unamlalamikia Mzee wa Masaki siku ile?
Pole sana bro. Ina maana kende bado zinauma mpaka sasa au zimeachia?
[emoji23][emoji23]watoto wa siku hizi wanabeba sana mizigo isiyokuwa yao
Kuna dr mmoja aliwahi nambia kama mwanaume kichupa kimejaa(hajakutana muda mrefu na mwanamke)kuna hali inatokea ya kuumwa na kende zinakuwa kama zinavuta(kuna watu huita ngiri),dawa yake ni kumwaga tu.
[emoji2][emoji2][emoji2]mizigo mingine haifai kubebwa na watoto kaka ake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] "mzigo mzito mpe mnyamwezi" watoto wa sasa wanajifanya wanyamwezi waache wasulubike[emoji3] [emoji3]
Hatujaelewana.Eeeh umeleta habari hadharani ambayo mwenyewe huiamini!!!?