Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MAKONTENA YA RC MAKONDA YAPIGWA MNADA BANDARINI.

Mnada wa makontena 20 ya RC Makonda umefanyika tayari lakini mnunuzi hajapatikana, hivyo mnada huo utaendelea Jumamosi ijayo.

Bidhaa 10 tu zilizokuwemo kwenye makontena hayo ndio zimeuzwa leo.


@Mohabbat par itna yaqeen
Wanunuzi wanaogopa ule mkwara wa laana ama? Huyu bwana mdogo hamalizi kasheshe . Hata kama ni chosen son wa big dadi but geez...
 
1535807576884.gif
 
Mkufunzi wa Tottenham Mauricio Pochettino anasema kuwa hatojaribu kuwashawishi watu kusalia ambao hawataki kusalia akiongezea kwamba sio tatizo iwapo klabu hiyo itapoteza wachezaji wawili au watatu kwa kuwa klabu hiyo ina wachezaji chungu nzima katika taasisi yao ya mafunzo ya soka.(Telegraph)

Safi sana, huwezi kumlazimisha yeyote
 
Back
Top Bottom