Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa dogo alikua anaigiza tu

Yule nae wale wale,mkongo alikua mume wa mtu mambo yakabumbuluka mbwembwe zote chali saiv anajiita bosslady kisa anapata visent sent kwenye ushonaji nguo,kutwa kubadili viben ten
Hahahahaha! Wanahangaika sana.
Kwa yule mkongo watu walikuwa hawanywi maji, mipicha tele + siku ya kutoa mahali..Mara ghafla kimyaaaa.
Brown nae akapotea ghafla...Brown mwenyewe mtoto mdogo wa juzi kati tu.

@Mohabbat par itna yaqeen
 
Kati ya vitu ambavyo sitakaa nimvumilie mwanamke ni hii ya kutangazana madhaifu yetu ya ndani huko nje. Ilikuwaje mpaka akakubali kuolewa na sokwe? Au kwa vile usokwe ulifichwa na pesa?

Dadangu Mbitiyaza sikumdharau kwa sababu alikuwa tayari kwenda kumegwa nje bali kumsema mumewe vile. Heshima !!!
Halafu sijui huwa wanaambukizana mitabia yao.?

@Mohabbat par itna yaqeen
 
Njaaa inauma[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
FB_IMG_1535795063970.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unamsemea yule aliyekuwa na kiduku cha rasta?
Maa ile ilikuwa script hakukua na ndoa pale wala mahari ilikuwa nyimbo nasikia.
Hahahahaha! Wanahangaika sana.
Kwa yule mkongo watu walikuwa hawanywi maji, mipicha tele + siku ya kutoa mahali..Mara ghafla kimyaaaa.
Brown nae akapotea ghafla...Brown mwenyewe mtoto mdogo wa juzi kati tu.

@Mohabbat par itna yaqeen
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unamsemea yule aliyekuwa na kiduku cha rasta?
Maa ile ilikuwa script hakukua na ndoa pale wala mahari ilikuwa nyimbo nasikia.
Hilo silijui kwakweli! Kuna kibaba fulani hivi kifupi + sura ngumu + mkongo...Ndo huyo wamsemea weye ??

@Mohabbat par itna yaqeen
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unamsemea yule aliyekuwa na kiduku cha rasta?
Maa ile ilikuwa script hakukua na ndoa pale wala mahari ilikuwa nyimbo nasikia.
Hapana sio huyo rasta,kuna mkongo kabisa na alimvalisha pete wolper na zawadi ya mkufu,google mkongo wa wolper utamuona
 
Back
Top Bottom