Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwa dogo alikua anaigiza tuNa kuishia kumuita sura ya sokwe.
Mie nilivyosikia eti kanasa kwa dogo janja nikajua tu yawezekana dogo kaokota mkwanja mahali, sasa umeisha nae katupwa..
Hivi yule mwenzie wanayeendana endana nae uchumba na mkongo wake uliishia wapi??
@Mohabbat par itna yaqeen
Yule nae wale wale,mkongo alikua mume wa mtu mambo yakabumbuluka mbwembwe zote chali saiv anajiita bosslady kisa anapata visent sent kwenye ushonaji nguo,kutwa kubadili viben ten