Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446614928_171085.jpg
 
Nae anatanga tanga, kipindi kamtupilia mbali Ndikumana nilihisi labda Ndikumana ndo mwenye tatizo...Lakini naona bandika bandua inaendelea.

@Mohabbat par itna yaqeen
Nadhan ni kama ka laana ka ndiku kamemchapa maana alimtumia kaka wa watu vibaya kamfilisi kuanzia pesa mpaka kipaji cha kusakata kambumbu kisha kamtupilia mbali tena kwa kumdhalilisha na kumkana
 
Nadhan ni kama ka laana ka ndiku kamemchapa maana alimtumia kaka wa watu vibaya kamfilisi kuanzia pesa mpaka kipaji cha kusakata kambumbu kisha kamtupilia mbali tena kwa kumdhalilisha na kumkana
Na kuishia kumuita sura ya sokwe.
Mie nilivyosikia eti kanasa kwa dogo janja nikajua tu yawezekana dogo kaokota mkwanja mahali, sasa umeisha nae katupwa..

Hivi yule mwenzie wanayeendana endana nae uchumba na mkongo wake uliishia wapi??

@Mohabbat par itna yaqeen
 
MBEYA:
BABA AMUUA MWANAE NA KISHA KUMFUKIA PORINI.

Jeshi la Polisi linamshikilia Geofrey Emilio Mwanganga(21) kwa kumnywesha sumu na kumuua mtoto wake, Prince Geofrey Emilio(5).

Chanzo cha tukio hilo ni mtuhumiwa kuhisi mtoto huyo si wake.

@Mohabbat par itna yaqeen

Mmmmh, maisha yalivyo magumu mtaani na huko jela kutakuwaje?
 
‪Asasi moja ya Kiraia jijini Manchester imeanza kuwapatia Kuku Wazee wanaoishi kwenye nyumba maalumu za malezi ili kuwasaidia kupambana na upweke, Wazee hao wanatakiwa kuwatunza Kuku hao ambapo katika mchakato huo hujikuta wanaondokana na upweke.

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Wazee wetu kule Nunge wawapelekee kuku na mbuzi angalau.....
 
Na kuishia kumuita sura ya sokwe.
Mie nilivyosikia eti kanasa kwa dogo janja nikajua tu yawezekana dogo kaokota mkwanja mahali, sasa umeisha nae katupwa..

Hivi yule mwenzie wanayeendana endana nae uchumba na mkongo wake uliishia wapi??

@Mohabbat par itna yaqeen
Kati ya vitu ambavyo sitakaa nimvumilie mwanamke ni hii ya kutangazana madhaifu yetu ya ndani huko nje. Ilikuwaje mpaka akakubali kuolewa na sokwe? Au kwa vile usokwe ulifichwa na pesa?

Dadangu Mbitiyaza sikumdharau kwa sababu alikuwa tayari kwenda kumegwa nje bali kumsema mumewe vile. Heshima !!!
 
Na kuishia kumuita sura ya sokwe.
Mie nilivyosikia eti kanasa kwa dogo janja nikajua tu yawezekana dogo kaokota mkwanja mahali, sasa umeisha nae katupwa..

Hivi yule mwenzie wanayeendana endana nae uchumba na mkongo wake uliishia wapi??

@Mohabbat par itna yaqeen
Huyu laana ya manung'uniko ya mumewe itamtafuna hadi ashangae.

Unamsemea wolper?hana bwana mkongo wala mkinga.
Aliishia kufuga vimarioo na kuachwa,yupo anatangatanga tena nasikia anajiita boss lady hakuna boss lady kama yeye afrika[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom