Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

@_esmaplatnumz: Dada bora ukae kimya alafu unapata Zambi kumshilikisha Mwenyezi Mungu ktk swala km hili kuongopa vitu mbona sie wenyewe tupo Kimya au ndio mnatapatapa embu mjitulize jamani hata MUNGU HAPENDI kwani ye ndio Muamuzi plz naomba msinitungie uongo wa kijinga jinga mlichokifanya wenyewe mnakijua na nafsi zinawasuta sipendi kuniingiza ktk uongo wa kijinga msijisafishe kutaka kuchafua watu. Huyo huyo mama mnaotaka awapende kutwa mnachamba na kumtungia uongo naombeni mkitaka kuweka uongo wenu bora mniweke mimi sio mamaangu. MLICHOFANYA MNAKIJUA #temporarypost [emoji119] #mfaMajiHamuishiKutapatapa #Katika MAISHA ni vema kukaa kimya pindi ukikosea na hasa ukijua wazi kuwa nimekosea ila ukijaribu kufuta au kusawazisha kosa kupitia njia za wasiogusa maisha yako ujue kosa linazaa kosa...Ungetulia maana watu wameshiba vielelezo na ushahidi 100%

View attachment 853316
Hii familia na wote waliokaribu nao kwa namna moja ama nyingine wanachosha,kila siku wao tu na drama zao khaa!!
 
MAKONTENA YA RC MAKONDA YAPIGWA MNADA BANDARINI.

Mnada wa makontena 20 ya RC Makonda umefanyika tayari lakini mnunuzi hajapatikana, hivyo mnada huo utaendelea Jumamosi ijayo.

Bidhaa 10 tu zilizokuwemo kwenye makontena hayo ndio zimeuzwa leo.


@Mohabbat par itna yaqeen
Drama zinaendelea.
Wachukue tu mzigo wao wapeleke kwenye mall zao tupumzike
 
Leo September 1, 2018
Mwili wa Mwanafunzi aliyeuawa kwa kupigwa viboko na Mwalimu wake wa Nidhamu, Sperius Radius hatimaye umezikwa Wilayani Muleba nyumbani kwa wazazi wake.

R.I.P mtoto mzuri!
20180901_141942.jpg


@Mohabbat par itna yaqeen
 
Ummy Mwalimu, MP
@umwalimu

Pima Afya yako kujua kama una maambukizi ya VVU. Endapo mtu atakutwa na maambukizi ya VVU ataanzishiwa dawa za ARV mara moja tofauti na zamani ambapo alikuwa analazimika kusubiri mpaka CD4 zishuke. Kuanza ARV mapema na kuzitumia ipasavyo kutalinda furaha ya wote wanaoishi na VVU.
 
Leo September 1, 2018
Mwili wa Mwanafunzi aliyeuawa kwa kupigwa viboko na Mwalimu wake wa Nidhamu, Sperius Radius hatimaye umezikwa Wilayani Muleba nyumbani kwa wazazi wake.

R.I.P mtoto mzuri!
View attachment 853361

@Mohabbat par itna yaqeen
Ingekuwa nchi za wenzetu huko, serikali hapa ingelipa mamilioni ya dola pamoja na wahusika kufungwa maisha. Lakini hapa kwetu Bongo mhhh. Unauliwa mtoto wako hivi hivi mchana kweupe...
 
Leicester City XI: Schmeichel, Chilwell, Morgan, Maguire, Mendy, Ndidi, Pereira, Albrighton, Gray, Maddison, Ghezzal.

Subs: Ward, Evans, Iheanacho, Amartey, Okazaki, Iborra, Fuchs

Liverpool XI: Alisson, Alexander-Arnold, Gomez, Van Dijk, Robertson, Milner, Wijnaldum, Henderson, Salah, Mane, Firmino

Subs: Mignolet, Keita, Sturridge, Moreno, Lallana, Shaqiri, Matip.
ManU leo mnacheza?
 
Nae anatanga tanga, kipindi kamtupilia mbali Ndikumana nilihisi labda Ndikumana ndo mwenye tatizo...Lakini naona bandika bandua inaendelea.

@Mohabbat par itna yaqeen
Mastaa wakubwa wa dunia hufika mahali wanasoma upepo wakiona miaka imeenda wanaamua kuolewa na kutulia. Angalia akina Beyonse na Destiny Child wenzake, JLO, Christina Aquilera, Alicia Keys na hata mastaa wengine wa sinema. Wanajua kuwa the Biological clock is ticking na kuna muda ulimbwende huanza kufifia. Lakini hawa wa kwetu ustaa wenyewe sijui ustaa gani lakini hakuna kutulia. Kule utu uzima watapata taabu sana hasa kama na pesa wanazopata sasa hawazitumii vizuri.
 
Mastaa wakubwa wa dunia hufika mahali wanasoma upepo wakiona miaka imeenda wanaamua kuolewa na kutulia. Angalia akina Beyonse na Destiny Child wenzake, JLO, Christina Aquilera, Alicia Keys na mastaa wengine wa sinema. Wanajua kuwa the Biological clock is ticking na kuna muda ulimbwende huanza kufifia. Lakini hawa wa kwetu ustaa wenyewe sijui ustaa gani lakini hakuna kutulia. Kule utu uzima watapata taabu sana hasa kama na pesa wanazopata sasa hawazitumii vizuri.
Nafikiri wengi wao hawajielewi tu..

@Mohabbat par itna yaqeen
 
Back
Top Bottom