andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huku kwetu hakuna mambo ya hatimiliki. Wampe kibali Mzee Mbanga hata kama injini ni ya Tata Motors bana. Yeye si kaunda body na kupanga viti vizuri?
Kwema lakini shemeji? Dadangu na wapwa hawajambo?
Hakika Mungu ni mwema,tupo vizuri kabisa. Unaendeleaje ndugu yangu?