carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Huku kheri kabisa,tunashukuru[emoji120][emoji120][emoji120]
Huku kheri kabisa,tunashukuru[emoji120][emoji120][emoji120]
Kabisa yani,weka mikono[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio! Kwanini wabanie wakati wamepewa na Mwenyezi Mungu pasipo gharama[emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unavijua?
Ni busara na maarifa shem na si vinginevyo [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], vitu nachuro huwa haviozi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kheri kumpa jirani kuliko kioze
Vinasinyaa[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Hahahahaha!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niwache shem maana nimewaza mbali
Tangu lini maarifa yakasinyaa??? [emoji23]Vinasinyaa[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Naamini ni vigumu sana kumfanya mwanaume aridhike kwa sababu ya kufanyiwa ufundi mwingi.Hahahaha et yale mambo ya mikono,, hii ni kweli kabsa,, aibu ni changamoto kubwa sana,,, unakuwa kuna kitu unataman na tena huwa unaenjoy sana lkn unashindwa kusema kwa kufikilia mwenza wako atakufikilia tofauti!
Ila hyo ya kupigana makofi hahaha kibongo bongo hii km ikitokea si mambo ya mbunyuko yanaishia hapo hapo hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]Naamini ni vigumu sana kumfanya mwanaume aridhike kwa sababu ya kufanyiwa ufundi mwingi.
Mwanaume hana anachoridhika nacho, mwanamke anaweza kujitahidi kufanya yale anayodhani mmewe ataridhika nayo lakini isiwe vile.
Wakati mwingine mwanaume huhitaji kufanya badiriko la kuridhisha nafsi yake tu, na hata kama ana mke mzuri na mtaalamu nyumbani hiyo haimfanyi atulie.
Kitakachomfanya mwanaume atulie ni kufanya maamuzi ya kutulia tu na si kitu kingine.
Nasema haya sababu ninao uzoefu na pia ni mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akinyimwa kibali atalalamika? Labda Kama ana vibali vya kurusiwa kutumia injini kutoka kampuni husika au injini kaitengeneza (sio ya Toyo au bajaji) mwenyewe.Mzee abuni Bajaji ya watu Saba kama gari, afika Ikulu, alia kunyimwa vibali.
Mtanzania, Mzee Andrew Mbanga mwenye miaka 60 ambaye ameunda Bajaji yenye uwezo wa kubeba watu 7 .
Mzee Mbanga ambaye ni mhandisi wa kujitegemea maeneo ya Kinondoni Manyanya Dar es Salaam, amesema Bajaji yake ina uwezo kuwabeba abiria saba.
Mzee Mbanga anasema Bajaj hiyo ameiunda kwa mwaka mmoja na ametumia takribani Shilingi Milioni 1 hadi kuikamilisha.
“Nimeiunda Bajaj hii kwa kutumia vyuma na vipuri ambavyo havitumiki, matarajio yangu ni kuzalisha Bajaj za aina hii kwa wingi ingawa bado sijapata kibali,”.
Mzee Mbanga anasema Bajaji hiyo haijaingia barabarani tangu ikamilike ina mwaka mmoja sasa kwa sababu ya kunyimwa vibali.
“Nimefika hadi Ikulu ili nionane na Rais kuhusu ubunifu huu angalau niwezeshwe nifungue kiwanda na niwaajiri watu,”anasema Mzee Mbanga.
Anasema tayari Bajaj yake aliyoipa jina la Mbanga imepata mteja na anataka kutengenezewa zaidi ya nne lakini hawezi kutengeneza kwa sababu Bajaj ya kwanza haijaruhusiwa kuingia barabarani.
View attachment 852268
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo kazi ipoKoi Koi Shaks Itna Khaas Hota
Hai.. Nazro Se Dur Par Dil
Ke Pas Hota Hai.. Kabi Kabi
Hi Aata Hai Uska Paigaam..
Par, Har Paigaam Se Uske
Pyar Ka Ehsaas Hota Hai..!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kheri kumpa jirani kuliko kioze
Upendo wa kweli huo......David Malelu Raia wa Kenya anayedaiwa kuitelekeza familia yake na kutoweka na Mwanamke mwingine amerudi jana nyumbani ikiwa imepita miaka 46 huku akiwa na shilingi 500 za Kenya sawa na Elfu 11 za Kitanzania mfukoni, Malelu amefanyiwa sherehe baada ya kurudi.
ila wanaume nyie,Mungu awasamehe tu kwakweliView attachment 852361
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Naamini ni vigumu sana kumfanya mwanaume aridhike kwa sababu ya kufanyiwa ufundi mwingi.
Mwanaume hana anachoridhika nacho, mwanamke anaweza kujitahidi kufanya yale anayodhani mmewe ataridhika nayo lakini isiwe vile
Wakati mwingine mwanaume huhitaji kufanya badiriko la kuridhisha nafsi yake tu, na hata kama ana mke mzuri na mtaalamu nyumbani hiyo haimfanyi atulie.
Kitakachomfanya mwanaume atulie ni kufanya maamuzi ya kutulia tu na si kitu kingine.
Nasema haya sababu ninao uzoefu na pia ni mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda mtu akipata dementia au Alzheimer [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️