Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji615]️ परिय,आप किस माध्यम से है ? अथवा कृपया अपना माध्यम चुनें !
-----------------------------------------------
[emoji615]️ आपण काय करीत आहात? किंवा स्पर्धात्मक परीक्षांसाठी आपण कोणत्या भाषेत तयारी केली आहे?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23], sawa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida kubwa kwenye ndoa ni komyunikesheni. Ai repiti. KOMYUNIKESHENI. Watu wanaoneana aibu. Una fantasy yako na vitu unavyovipenda. Badala ya kumwambia mwenzako unakwenda kumwambia mchepuko. Unakuta mtu anapenda kufungwa kamba au kuzabwa makofi na hata kufinywa mpaka alie kama mtoto mdogo wakati akigegeda. Badala ya kumwambia mkewe anaona aibu anakwenda kutafuta mchepuko. Whai?

Kuna mama mmoja alikuwa mashuhuri sana kule Masaki 2010s na kwake migari ya thamani ilikuwa haikauki mijibaba inapishana. Watu wakadhani ni kahaba wa kimataifa kumbe sivyo. Ilikuja kubainika kuwa yeye alikuwa anatoa huduma ya kuwaridhisha wanaume wanaopenda "kuchezewa" na hata "kukitwa" eneo fulani tu na kupigishwa kwata la mikono na mengineyo. Wanasema alikuwa anachaji mpaka dola $2,000 kwa session moja ya masaa mawili. Marenji rova na maleksazi mengine ya waume za watu yalikuwa yanamiminika pale. Whai? Ina maana wake zao hawa walikuwa hawawezi kuwafanyia waliyokuwa wanafanyiwa na huyu mama?

Mama hata akigeuka kahaba kitandani bila mume kusema hasa anachopenda pamoja na fantasy zake ni kazi bure. Mama atabinuka wee lakini mume atatoka hapo atakwenda kwa mchepuko wake kupewa anachopenda. Ova !!![emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Shemeji shikamoo
Habari ya ijumaa
 
GEITA: Wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 katika shule ya Kalangalala wameandamana kwenda kwa DC wa Geita kupinga kitendo cha mwenzao kupigwa na Mwalimu hadi kuzimia.
Wanafunzi wenzake wanaeleza kuwa Mwanafunzi huyo amelazwa katika hospitali ya mkoa akiwa hawezi kuzungumza wala kukaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndalichako atasema na hii ni bahati mbaya
 
Back
Top Bottom