Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji615]️ परिय,आप किस माध्यम से है ? अथवा कृपया अपना माध्यम चुनें !
-----------------------------------------------
[emoji615]️ आपण काय करीत आहात? किंवा स्पर्धात्मक परीक्षांसाठी आपण कोणत्या भाषेत तयारी केली आहे?

Sent using Jamii Forums mobile app

Chinese_5_0001-1170x600.gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akinyimwa kibali atalalamika? Labda Kama ana vibali vya kurusiwa kutumia injini kutoka kampuni husika au injini kaitengeneza (sio ya Toyo au bajaji) mwenyewe.
Huku kwetu hakuna mambo ya hatimiliki. Wampe kibali Mzee Mbanga hata kama injini ni ya Tata Motors bana. Yeye si kaunda body na kupanga viti vizuri?

Kwema lakini shemeji? Dadangu na wapwa hawajambo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], biashara ikienda poa nitakugawia usijali... Nami nasisitiza usisahau kunigawia ulichobarikiwa na Mwenyezi Mungu, bila shaka wamaanisha busara.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Busara? Busara na mimi wapi na wapi? Piga akili vizuri. Ni kitendawili hicho. Ukikifumbua "nakupa mji"
Mjita na msukuma kwenye hatua za mwisho kwenda kwenye "mfumuano" wa nyu-e-le...
[emoji124] [emoji124] [emoji124] kyusa sina wangu mjini, acha nijirudie zangu Mwakaleli
 
‪Gail Lamb (55) wa nchini Uingereza amefariki kutokana na ajali ya moto baada ya kukataa kutoka kwenye nyumba ambayo ilikuwa ikiwaka moto akidhania kuwa Mume wake alikuwa bado yumo ndani ya nyumba hiyo lakini kumbe Mume wake alikuwa tayari ameshatoka.
Screenshot_2018-08-31-14-20-02-1.jpeg
 
‪Rais Trump ametishia kuindoa Marekani katika Shirika la Biashara Duniani WTO kwa kile alichokidai kuwa Shirika hilo limekuwa likiitendea Marekani ndivyo sivyo, Shirika hilo lilianzishwa kwa ajili ya kusimamia biashara duniani na kutatua tofauti kati ya nchi.
 
Communication[emoji736][emoji736][emoji736]huu ndo mzizi wa mahusiano mazuri.

Mkitaka kuchapwa viboko mseme jamani[emoji23][emoji23]
Tunarudi kule kule. Kama hakuna communication ni kazi bure.

Hoja ya Mchina ni jumuisho la jumla lakini lina vighairi (exceptions) nyingi. Tafiti mbalimbali zimethibitisha
 
‪David Malelu Raia wa Kenya anayedaiwa kuitelekeza familia yake na kutoweka na Mwanamke mwingine amerudi jana nyumbani ikiwa imepita miaka 46 huku akiwa na shilingi 500 za Kenya sawa na Elfu 11 za Kitanzania mfukoni, Malelu amefanyiwa sherehe baada ya kurudi.


ila wanaume nyie,Mungu awasamehe tu kwakweliView attachment 852361
Mwanaume wa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom