myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
mchana unakimbia
hii hatariii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ile siku haiwezi kusahaulika kabisa. Pyaar alilijibu alivyo ruhusu "kufukunyuliwa" kwa namna yoyote ile. Yaani ilikuwa raha sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
enzi zetu
umri mkubwa...ni baraka kufika hapoDavid Malelu Raia wa Kenya anayedaiwa kuitelekeza familia yake na kutoweka na Mwanamke mwingine amerudi jana nyumbani ikiwa imepita miaka 46 huku akiwa na shilingi 500 za Kenya sawa na Elfu 11 za Kitanzania mfukoni, Malelu amefanyiwa sherehe baada ya kurudi.
ila wanaume nyie,Mungu awasamehe tu kwakweliView attachment 852361
Mambo na matani yetu ya humu ingekuwaga ni ukweli kuna watu wangekuwa na mimba sasa hivi. Eti "nifukunyue vyo vyote unavyotaka" lakini si ajabu ukimzukia laivu Gold Crest hutamsikia na JF haji. Shwaiini kabisa !!!Ile siku haiwezi kusahaulika kabisa. Pyaar alilijibu alivyo ruhusu "kufukunyuliwa" kwa namna yoyote ile. Yaani ilikuwa raha sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Labda mtu akipata dementia au Alzheimer [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️