Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji Carlos Tevez ameamua kujiondoa katika kikosi cha Boca Juniors, kutokana na kukerwa na uamuzi wa kocha kumuanzishia benchi katika mechi muhimu za timu hiyo.

Tevez alimbwatukia Kocha wa Boca Juniors, Guillermo Barros Schelotto kwa uamuzi wake wa kumuweka benchi katika mchezo wa Superliga dhidi ya Huracan, uliochezwa Jumatatu hii na kumalizika kwa sare ya bila mabao.
 
Kocha huyo alimuweka benchi mshambuliaji huyo wa zamani wa Manchester United na Man City mwenye miaka 34 katika mchezo wa awali ambao walichapwa mabao 2-0 na timu hiyo kwenye uwanja wa Estudiantes.

Ingawa Kocha alijitetea kwamba alimpanga kuanza katika mchezo wa Copa Libertadores dhidi ya timu ya Libertad ya Paraguay lakini mshambuliaji huyo aliona kama anavunjiwa heshima na kuamua kujiondoa.
 
Nilishasema tangu mapema ikiwa sitakuwa na msaada wa kuutoa kwa Boca sitasubiri shinikizo bali nitajiondoa mimi mwenyewe, hivyo leo ninatimiza ahadi yangu ya kuondoka,” alisema Tevez.

Alisema anaamini Kocha wake hamuamini tena na haoni mchango wake kwenye timu ndiyo maana anamuweka benchi hivyo hana haja ya kuendelea kubaki amona ni bora awaachie wale wenye mchangozaidi kwa timu hiyo.
 
Tevez amekuwa chaguo la tatu kwa kocha Schelotto ambaye anaonekana kuvutiwa zaidi na uchezaji wa Cristian Pavon na Mauro Zarate ambao ndio wanaoanza katika siku za hivi karibuni.

Majeruhi ya mara kwa mara yalimrudisha Tevez, Boca Januari mwaka huu, baada ya Desemba 2016 kuiacha timu hiyo na kujiunga na Shanghai Shenhua ya China.
 
Hiyo ni kazi ya michepuko. Nyie ni kifo cha mende tu tena na sala juu kabla ya kulaliana. Boriiiiiiiiiiiiing [emoji16][emoji16][emoji16]
Mtuache na kifo chetu cha mende,mbwembwe hatutaki na kifuani kukaa mwisho dakika 10,ukizidisha tumechoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom