Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee abuni Bajaji ya watu Saba kama gari, afika Ikulu, alia kunyimwa vibali.


Mtanzania, Mzee Andrew Mbanga mwenye miaka 60 ambaye ameunda Bajaji yenye uwezo wa kubeba watu 7 .

Mzee Mbanga ambaye ni mhandisi wa kujitegemea maeneo ya Kinondoni Manyanya Dar es Salaam, amesema Bajaji yake ina uwezo kuwabeba abiria saba.

Mzee Mbanga anasema Bajaj hiyo ameiunda kwa mwaka mmoja na ametumia takribani Shilingi Milioni 1 hadi kuikamilisha.

“Nimeiunda Bajaj hii kwa kutumia vyuma na vipuri ambavyo havitumiki, matarajio yangu ni kuzalisha Bajaj za aina hii kwa wingi ingawa bado sijapata kibali,”.

Mzee Mbanga anasema Bajaji hiyo haijaingia barabarani tangu ikamilike ina mwaka mmoja sasa kwa sababu ya kunyimwa vibali.

“Nimefika hadi Ikulu ili nionane na Rais kuhusu ubunifu huu angalau niwezeshwe nifungue kiwanda na niwaajiri watu,”anasema Mzee Mbanga.

Anasema tayari Bajaj yake aliyoipa jina la Mbanga imepata mteja na anataka kutengenezewa zaidi ya nne lakini hawezi kutengeneza kwa sababu Bajaj ya kwanza haijaruhusiwa kuingia barabarani.



20180831_121429.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nilikwenda katika mashine ya ATM kuchukua fedha. Nilikuwa na uhitaji mkubwa sana wa fedha kwa wakati huo.

Nilipofika tu, mashine ilinikaribisha kwa kuniambia niingize kadi yangu (Please insert your card.)

Nikafanya hivyo.

Baada ya kuingiza tu, ikaja meseji iliyonitaka niingize Nywila (password).

Nikafanya hivyo.

Kisha, meseji nyingine tena ikaja ikiniambia niingize kiasi nachotaka kuchukua

Nikafanya hivyo.

Baada ya kumaliza yote, Mashine ya ATM ikanionesha meseji yenye maandishi makubwa.

"MUAMALA WAKO UNAFANYIWA KAZI, TAFADHALI SUBIRI" (YOUR TRANSACTION IS BEING PROCESSED, PLEASE WAIT).

Nikawa nasubiri kwa muda mrefu mno bila fedha zangu kutoka!

Basi, kutokana na hayo, niruhusu nikwambie hili, endapo umefanya kila kitu kwa uwezo wako, umesali, umefunga, umewaomba hata wengine wakuombee lakini hakuna mabadiliko yoyote katika maisha yako, nakusihi usikate tamaa, kwa sababu maombi yako bado yanafanyiwa kazi na muda wowote utajibiwa.

SUBIRI!!

Ngoja tena nikwambie na hili. Kilichonifanya nisubiri kwa muda mrefu muamala ukamilike ni kwa sababu kadi yangu ya benki ilikuwa tayari ndani ya mashine na nilikuwa nimeshaingiza password.

Kama ningekata tamaa, nikajitoa ufahamu na kuondoka, mtu mwingine angekuja na kuchukua kiasi cha pesa nilichokuwa nimeomba kukichukua.

Hivyo, sio kwamba ujumbe wako kwa MUNGU haufiki, sio kwamba maombi yako sio sahihi, sio kwa sababu kufunga kwako ni bure..bali ni kwamba;

MUAMALA WAKO UNAFANYIWA KAZI!

Endelea kusubiri, usikate tamaa. Maana, kwa kufanya hivyo utamkaribisha shetani akuendeshe anavyotaka na kwa hakika utakula hasara mara elfu. Usifikiri ulizaliwa ili uhangaike. Maombi yako yanafanyiwa kazi [emoji120]

Najua sio rahisi kukutia moyo, ila amini katika kusubiri. Maana, wakati wa MUNGU ni bora kuliko wakati mwingine wowote ule.

"Lakini wote wanaomtumainia Mwenyezi-Mungu, watapata nguvu mpya. Watapanda juu kwa mabawa kama tai; watakimbia bila kuchoka; watatembea bila kulegea." - ISAYA 40:31

MUAMALA WAKO UNAFANYIWA KAZI. TAFADHALI SUBIRI!

Mwenyezi MUNGU akubariki sana!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha et yale mambo ya mikono,, hii ni kweli kabsa,, aibu ni changamoto kubwa sana,,, unakuwa kuna kitu unataman na tena huwa unaenjoy sana lkn unashindwa kusema kwa kufikilia mwenza wako atakufikilia tofauti!
Ila hyo ya kupigana makofi hahaha kibongo bongo hii km ikitokea si mambo ya mbunyuko yanaishia hapo hapo hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Bro. Imagine mtu anafuata sloppy blojobu kwa mchepuko. Ukimuuliza mkeo hawezi kukupa sloppy blojobu? Utasikia "Oooh Mama Agii aisee hata nitaanzia wapi kumwambia?". Real?
 
Utakachopata tugawane please. Nami nitakugawia Muumba alichonijalia nachulale [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], biashara ikienda poa nitakugawia usijali... Nami nasisitiza usisahau kunigawia ulichobarikiwa na Mwenyezi Mungu, bila shaka wamaanisha busara.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], biashara ikienda poa nitakugawia usijali... Nami nasisitiza usisahau kunigawia ulichobarikiwa na Mwenyezi Mungu, bila shaka wamaanisha busara.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Busara? Busara na mimi wapi na wapi? Piga akili vizuri. Ni kitendawili hicho. Ukikifumbua "nakupa mji"
 
Back
Top Bottom