Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446707962_143169.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ngoja nimuuzie Harmo rappa hii mistari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakachopata tugawane please. Nami nitakugawia Muumba alichonijalia nachulale [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Shida kubwa kwenye ndoa ni komyunikesheni. Ai repiti. KOMYUNIKESHENI. Watu wanaoneana aibu. Una fantasy yako na vitu unavyovipenda. Badala ya kumwambia mwenzako unakwenda kumwambia mchepuko. Unakuta mtu anapenda kufungwa kamba au kuzabwa makofi na hata kufinywa mpaka alie kama mtoto mdogo wakati akigegeda. Badala ya kumwambia mkewe anaona aibu anakwenda kutafuta mchepuko. Whai?

Kuna mama mmoja alikuwa mashuhuri sana kule Masaki 2010s na kwake migari ya thamani ilikuwa haikauki mijibaba inapishana. Watu wakadhani ni kahaba wa kimataifa kumbe sivyo. Ilikuja kubainika kuwa yeye alikuwa anatoa huduma ya kuwaridhisha wanaume wanaopenda "kuchezewa" na hata "kukitwa" eneo fulani tu na kupigishwa kwata la mikono na mengineyo. Wanasema alikuwa anachaji mpaka dola $2,000 kwa session moja ya masaa mawili. Marenji rova na maleksazi mengine ya waume za watu yalikuwa yanamiminika pale. Whai? Ina maana wake zao hawa walikuwa hawawezi kuwafanyia waliyokuwa wanafanyiwa na huyu mama?

Mama hata akigeuka kahaba kitandani bila mume kusema hasa anachopenda pamoja na fantasy zake ni kazi bure. Mama atabinuka wee lakini mume atatoka hapo atakwenda kwa mchepuko wake kupewa anachopenda. Ova !!![emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
Hahahaha et yale mambo ya mikono,, hii ni kweli kabsa,, aibu ni changamoto kubwa sana,,, unakuwa kuna kitu unataman na tena huwa unaenjoy sana lkn unashindwa kusema kwa kufikilia mwenza wako atakufikilia tofauti!
Ila hyo ya kupigana makofi hahaha kibongo bongo hii km ikitokea si mambo ya mbunyuko yanaishia hapo hapo hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom