Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manchester City XI: Ederson, Walker, Stones, Laporte, Mendy, Silva (C), Fernandinho, Mahrez, Sterling, Jesus, Aguero

Subs: Muric, Kompany, Otamendi, Delph, Gundogan, B. Silva, Foden.

Newcastle United XI: Dubravka, Yedlin, Clark, Fernandes, Lascelles, Dummett, Diame, Ki, Kenedy, Perez, Rondon

Subs: Darlow, Sterry, Atsu, Longstaff, Murphy, Muto, Joselu.
 
Siku hizi watoto wa kiume wakishaota ndevu tu basi wanajiona wamekua sana.
Halafu watoto wa kiume sijui wamekumbwa na nini sikuhizi yaani wanapenda kulelewa,kazi hawataki tunashindana nao kudanga tu mjini mfyuuu[emoji36][emoji36]
Hahahahaha! Yaani...Mie nilijua kamekomaa kidogo, kuna siku rafiki yangu mmoja wa kiume akanambia yule brown mdogo wake wa hiyari akanambia na mwaka wake wa kuzaliwa nikastaajabu sana..

@Mohabbat par itna yaqeen
 
Kwani nani huyu mkuu?
Huyu ni Isabel Dos Santos. Ni binti wa aliyekuwa rais wa muda mrefu wa Angola Eduardo Dos Santos. Enzi za baba yake alitajirika sana kwa sababu makampuni yake ndiyo yalikuwa yanapatiwa tenda kubwa kubwa zote mpaka akafanikiwa kuwa Oprah Winfrey wa Afrika - mwanamke tajiri kuliko wote Afrika. Kwa sasa anatumiwa kama mfano mbovu kuelezea dhana kwamba ufisadi (ukiwemo ule wa kutisha) hauchagui jinsia na hata wanawake wakiwezeshwa wanaweza kuwa majoka makengeza.

Kabla ya kustaafu babake alimchagua Jenerali Laurenco kuchukua wadhifa wa urais huku akiamini kuwa mali za familia yake hazitaguswa. Jeneral Laurenco hata hivyo ameanza kuwafurahisha Waangola kwa kuanza kumnyang'anya binti huyu baadhi ya tenda za mabilioni ya dola alizozipata wakati wa utawala wa babake. Ni kwa sababu hii net worth yake imeanza kupungua na sauti zinapazwa kuwa anafaa kutupwa jela.

Nenda katika link hii kwa habari zaidi:

Isabel dos Santos: The Fall of Africa’s Richest Woman
 
Back
Top Bottom