Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1535900619578.jpg
 
hahahahaaaaa ndiyo nimekimaliza muda huu.
unaonekana unayafahamu mengi sana yanayomuhusu bwana yule?
Alikuwa mzuri sana kinadharia na ni mwanafalsafa mahiri na mwenye akili nyingi ila mengi anayoyasema kwenye kitabu chake ungejaribu kuyatenda wakati wake ama ungepotea, ungeenda kizuizini au ungekuwa mkimbizi. Hakuwa na mchezo na wakati ule alikuwa pekee ndiye mwenye fikra sahihi na watoto mashuleni waliimbishwa hivyo. Kitu pekee ambacho kinampa credit ni kwamba hakuwa fisadi na kabisa kabisa aliamini katika siasa zake za Ujamaa na Kijitegemea kwa moyo mmoja; potelea mbali hata kama zilishindikana.

Halafu pia alishindwa kuwa na mfuasi wa kweli wa nadharia zake hata mmoja. Pengine Sokoinne peke yake japo naye aliishia kuuawa. Mwanafunzi wake mpendwa sana Ben alimwamini mpaka kumpigia kampeni za urais nchi nzima lakini aliyokuja kuyatenda hayakuendana na heshima yake kama kijana aliyeaminiwa na Nyerere. Kisome kitabu hicho kinadharia zaidi lakini kimatendo hakiendani naye. Kitabu chenyewe hicho ni matokeo ya malumbano yake na rais Mwinyi, Waziri Mkuu na Katibu Mkuu wa chama. Mwinyi alijaribu kusimama mwenyewe kimaamuzi na kujaribu kwenda kinyume na misingi yake hasa suala la muungano. Kolimba baadaye aliitwa Dodoma kwenda kuhojiwa na alifia katika mahojiano yale...
 
[emoji56]Nikiwa nimechoka najiamulia tu kupiga simu police

# *Mimi:* Hello afande nipo hapa naona watu kibao wamekufa...

*#Afande:* Kiongozi tuambie mahali ulipo tuje sasa hivi...

*#Mimi:* Nipo hapa makaburini...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom