moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kila kitu kina faida (na hasara) zake mkuu. Hebu fikiria kama kifo kisingelikuwepo, sayari hii ingekalika?
Najifunza kikoromije shem[emoji16]Ni nani amekwambia kuwa makande yanaitwa hivyo kwa Kikoromije? Mzaramo kwa ubuyu sikuwezi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ndiyo dunia hii ilivyo: Ama unakula au unaliwa. Uchu !!!Hifadhi zenuView attachment 855819
Ndiyo dunia hii ilivyo: Ama unakula au unaliwa. Uchu !!!
Wa......[emoji23][emoji23][emoji23]
Wa......[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijambo mie sijui weye uliyekona ya mbali na macho yangu[emoji1]Bebiake hujambo? [emoji1]