carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Fredrick Olang’o (24) Raia wa Kenya amejiua kwa kujinyonga baada ya Mke wake kumuacha na kumrudia Mume wake wa zamani, aidha bado haijabainika chanzo cha Mke huyo kumuacha Olang’o na kurudiana na Mumewe wa zamani.