carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Umeitimisha vyema. Asante kwa kuniongezea maarifaJILIWAZE KIDOGO
Ninaposema kuwa na nidhamu ya matumizi ya pesa simaanishi ndiyo ujinyime kiasi cha kushindwa kujipongeza walau kiduchu. Naamini lazima ujiliwaze kidogo unapokuwa njiani kufikia lengo fulani. Jipe liwazo hata kidogo. Inasaidia kuufanya ubongo wako uelewe kuwa kuna mambo mengi mema yanakuja hivyo utaufanya ufanye kazi kwa bidii zaidi.
Kitambo sana hawa jamaa
Hii stahil mpaka uwe umeshiba ndo unatakiwa uifanye kama hujala afu ukaifanya unaweza jikuta unatapika makwasu kwasu uliyokula usiku😀